Issue ni dress code. Shughuli zote huwa zina dress code. Leo ni aidha kuvaa uzi wa Simba au BerkaneHabari za muda huu wana jamvi
Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?
Ule utani wa jadi uko wapi?
Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.
Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo kutokea , nimesikitika juzi kuona video ya CEO wa Simba Sc akitoa kauli za vitisho kwa watani zao kuhusu kuja uwanjani mbele ya press conference kabisa.
Hii si sawa kabisa mamlaka za aoka fumbueni macho., hali inaenda kuwa mbaya.
View attachment 3345227
Still Berkane watachukua kombe. Tuliza mihonjo hiyo.Chomoa sasa huo MWIKO
Halafu sisi twakuchukua weye?Still Berkane watachukua kombe. Tuliza mihonjo hiyo.
Safi sana Hawa walitakiwa wapigwe sana ili siku nyingine ujinga uwaishe. Hapo haichezi yanga ni Simba &berka NE sasa hizo jezi za yanga ili iwaje?? Tukiendelea kulea huu ujinga wa kuhujumiana eti kisa utani wa jadi ipo siku tutafika kibayaHabari za muda huu wana jamvi
Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?
Ule utani wa jadi uko wapi?
Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.
Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo kutokea , nimesikitika juzi kuona video ya CEO wa Simba Sc akitoa kauli za vitisho kwa watani zao kuhusu kuja uwanjani mbele ya press conference kabisa.
Hii si sawa kabisa mamlaka za aoka fumbueni macho., hali inaenda kuwa mbaya.
View attachment 3345227
Mechi ya TP Mazembe walingia bure na wakavaa jezi za Mazembe na hawakufanywa chochote, hivyo hivyo mechi na Mamelodi kuna watu walikubali mpaka kuvaa jezi za njano za Mamelodi na hawakuguswa.Mechi ya Al Ahly juzi walipanda mpaka kwenye viti na kuvunja viti.Habari za muda huu wana jamvi
Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?
Ule utani wa jadi uko wapi?
Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.
Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo kutokea , nimesikitika juzi kuona video ya CEO wa Simba Sc akitoa kauli za vitisho kwa watani zao kuhusu kuja uwanjani mbele ya press conference kabisa.
Hii si sawa kabisa mamlaka za aoka fumbueni macho., hali inaenda kuwa mbaya.
View attachment 3345227
Tunaona kaka mnavyo litafuta la tano hapa, mmetakata leo tehetehtehteh.Fist half 2
Sec half 2
FT
Simba 4-0 Berkane
Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
Kwann uende na jez ya Yanga ? unapokuwa mtu mzima jifunze ustaraab , jaribu kuweka mipaka kweny namna unafanya mamb , bora avae jez ya mpinzan anaecheza kuliko kuvaa jez ya timu haipo uwanjanHabari za muda huu wana jamvi
Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?
Ule utani wa jadi uko wapi?
Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.
Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo kutokea , nimesikitika juzi kuona video ya CEO wa Simba Sc akitoa kauli za vitisho kwa watani zao kuhusu kuja uwanjani mbele ya press conference kabisa.
Hii si sawa kabisa mamlaka za aoka fumbueni macho., hali inaenda kuwa mbaya.
View attachment 3345227
Kwan unataka wote washabikie Yanga ? Kosa ni kuingia uwanjan na jez ya timu haichez ila ukivaa jez ya moja kati ya zilizo uwanjan hilo sio kosaMechi ya TP Mazembe walingia bure na wakavaa jezi za Mazembe na hawakufanywa chochote, hivyo hivyo mechi na Mamelodi kuna watu walikubali mpaka kuvaa jezi za njano za Mamelodi na hawakuguswa.
Kwan unataka wote washabikie Yanga ? Kosa ni kuingia uwanjan na jez ya timu haichez ila ukivaa jez ya moja kati ya zilizo uwanjan hilo sio kosa
Nyinyi mlikuwa mnaenda airport kuwapokea wageni waliokuja kucheza na simba mlikuwa mnapigwa kila kitu kina mipaka yake mkuu ila yanga mna utoto mwingi sana.Mchana huu mashabiki wa Simba wamewajeruhi mashabiki wa Yanga waliofika kiwanjani kutazama Burudani ya final ya CAFCC
Tukumbuke viongozi wa Simba walihimiza mashabiki wao kuwadhuru na kuwavamia, Sasa Leo wametekeleza walivoambiwa na viongozi wao
Huu mpira wa miguu ni watu wote, viongozi wa Simba waelimishe mashabiki wao kuwa watu wote kiwanjani hawawezi kuwa upande wako, Kuna watakaokushangilia na kukuzomea
TFF oneni aibu japo mna urafiki wenu na Simba ila toeni adhabu kali Kwa viongozi wa Simba walihamasisha fujo hadi kutaka wapinzani wao wauwawe
SMZ kamateni hao vibaka na kuwafikisha mahakamani Kwa kuvunja amani na utulivu
waache ipo siku watajichanganya...yanga hawana dogo na hawasahau ubayaUnafurahia?
Watazitumia tiketi zao Simba DayHabari za muda huu wana jamvi