Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

Bahati mbaya sikutazama mechi nilikuwa na online meeting. Ila pale Simba iliponyimwa goli nilisikia sauti kubwa ya kushangilia nikajua Simba kafunga tena kumbe ilikuwa ni No Goal. Hivyo hivyo kadi ya Kagoma na goal la Berkane.

Kwa hiki nilichosikia. Naunga mkono kipigo hiki kwa mashabiki wa Yanga. Hata angevunjwa mguu mtu ingekuwa sawa tu
Vyura wana kelele mno.
 
Issue ni dress code. Shughuli zote huwa zina dress code. Leo ni aidha kuvaa uzi wa Simba au Berkane
Sahihi kabisa.
Mechi ya TP Mazembe walingia bure na wakavaa jezi za Mazembe na hawakufanywa chochote, hivyo hivyo mechi na Mamelodi kuna watu walikubali mpaka kuvaa jezi za njano za Mamelodi na hawakuguswa.Mechi ya Al Ahly juzi walipanda mpaka kwenye viti na kuvunja viti.

View: https://www.instagram.com/reel/DKEyjDwKoGX/?igsh=MWtrZHg3bmV2bHRodw==

Umeshasema watu wamevaa jezi za TP Mazembe na Mamelodi ambazo ndiyo timu zinazocheza siku hiyo na hao mashabiki wamekaa eneo maalumu lililotengwa kwa timu hizo, unacholalamika ni nini sasa?

Sasa wewe unakuja na kajezi kako ka GSM halafu kibaya zaidi unakaa eneo la mashabiki wa Simba, unataka nini zaidi ya kupigwa tu? Enzi za shamba la bibi, ukikaa eneo siyo lako unajikuta tu umefika chini haujui umefikaje.
 
Kwani siwafahamu mashabiki wa Kolo FC wanao jianika kwenye hizi online media, huyo Mziwanda kasafiri na timu mpaka Morrocco siku Yanga na Mamelod alivaa jezi ya kijani na hatuku mbuguzi kacheki mechi baada ya mechi akaohojiwa.Awe amekaa eneo lilotegengwa au laah ila hakupigwa mtu tena kama mechi ya Mazembe uwanja ulizidiwa na hakukua na mpangilio maalumu mashabiki walichanganyikana na hakuguswa sahabiki yoyote yule.
 
Sheria za CAF zinataka timu ngeni itengewe eneo maalumu kwa ajili ya mashabiki wake. Kama hamkufanya hivyo mlikiuka taratibu za mashindano.

Haijalishi kama unamjua mtu, akili tu za kawaida za kuvukia barabara zinakwambia hauwezi kuvaa jezi zisizo za timu husika ukaenda kukaa eneo la mashabiki wa timu pinzani.
 
Habari za muda huu wana jamvi

Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?

Ule utani wa jadi uko wapi?

Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.

Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo kutokea , nimesikitika juzi kuona video ya CEO wa Simba Sc akitoa kauli za vitisho kwa watani zao kuhusu kuja uwanjani mbele ya press conference kabisa.

Hii si sawa kabisa mamlaka za aoka fumbueni macho., hali inaenda kuwa mbaya.
View attachment 3345227
Tatizo Watanganyika ni simba na yanga
 
Sheria za CAF zinataka timu ngeni itengewe eneo maalumu kwa ajili ya mashabiki wake. Kama hamkufanya hivyo mlikiuka taratibu za mashindano.

Haijalishi kama unamjua mtu, akili tu za kawaida za kuvukia barabara zinakwambia hauwezi kuvaa jezi zisizo za timu husika ukaenda kukaa eneo la mashabiki wa timu pinzani.
Hamna kanuni kama hiyo na wala sio lazima na ndio maana baada ya mechi ya Mazembe,Yanga haikupewa adhabu na hiyo mechi Yanga alipigwa moja bila na mkashangilia,mkiwa mmechanganyikana na mashabiki wa Yanga na wengi mkiwa kwenye jezi za Mazembe.

Sometimes ni ustaarabu wa mashabiki na siku ile huwezi laumu, sababu watu walikuwa wengi na hata mashabiki wengi wa Yanga hawakupata nafasi sababu mechi ilikuwa ni bure na nyie mkajichanganya humo humo na hamna aliye watoa.
 
Habari za muda huu wana jamvi

Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?

Ule utani wa jadi uko wapi?

Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.

Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo kutokea , nimesikitika juzi kuona video ya CEO wa Simba Sc akitoa kauli za vitisho kwa watani zao kuhusu kuja uwanjani mbele ya press conference kabisa.

Hii si sawa kabisa mamlaka za aoka fumbueni macho., hali inaenda kuwa mbaya.
View attachment 3345227
Safi sana, ubaya ubwela
 
Hamna kanuni kama hiyo na wala sio lazima na ndio maana baada ya mechi ya Mazembe,Yanga haikupewa adhabu na hiyo mechi Yanga alipigwa moja bila na mkashangilia,mkiwa mmechanganyikana na mashabiki wa Yanga na wengi mkiwa kwenye jezi za Mazembe.

Sometimes ni ustaarabu wa mashabiki na siku ile huwezi laumu, sababu watu walikuwa wengi na hata mashabiki wengi wa Yanga hawakupata nafasi sababu mechi ilikuwa ni bure na nyie mkajichanganya humo humo na hamna aliye watoa.
Yaani unataka tubishane kama kuna tatatibu za mchezo za CAF zinazotaka timu mwenyeji itenge eneo maalumu la mashabiki kwa timu ngeni?
 
Yaani unataka tubishane kama kuna tatatibu za mchezo za CAF zinazotaka timu mwenyeji itengewe eneo maalumu?
Unajua maana ya taratibu?

Okay why baada ya hiyo mechi Yanga hakuadhibiwa kwa kutokufuata hiyo taratibu?

Sometimes ni ustaarabu wa mashabiki husika na hiyo mechi Yanga alipigwa na mlishangilia.
 
Sina muda wa kubishana na wewe kwa vitu ambavyo viko wazi. Tafuta kanuni za CAF acha kuleta ubishi wa kijingajinga, unajiaibisha.
 
Nimekuuliza unajua maana ya kanuni? Kanuni ukiivunja lazima iambatane na adhabu. Sasa nani kaleta ubishi? Nimekupa mfano halisi unabisha,sasa mimi na ww nani mbishi.

Hamba taratibu au sheria za jinsi ya kukaa, sema ni BEST PRACTICE, mashabiki wakae mbalimbali.
 
Sahihi kabisa.

Umeshasema watu wamevaa jezi za TP Mazembe na Mamelodi ambazo ndiyo timu zinazocheza siku hiyo na hao mashabiki wamekaa eneo maalumu lililotengwa kwa timu hizo, unacholalamika ni nini sasa?

Sasa wewe unakuja na kajezi kako ka GSM halafu kibaya zaidi unakaa eneo la mashabiki wa Simba, unataka nini zaidi ya kupigwa tu? Enzi za shamba la bibi, ukikaa eneo siyo lako unajikuta tu umefika chini haujui umefikaje.
😂😂😂😂😂
 
Nimekuuliza unajua maana ya kanuni? Kanuni ukiivunja lazima iambatane na adhabu. Sasa nani kaleta ubishi? Nimekupa mfano halisi unabisha,sasa mimi na ww nani mbishi.

Hamba taratibu au sheria za jinsi ya kukaa, sema ni BEST PRACTICE, mashabiki wakae mbalimbali.
Unaenda kwenye adhabu. Mimi nimekwambia kanuni ipo inayotaka mashabiki wa timu ngeni watengewe eneo lao wewe unasema ni uamuzi tu wa mwenyeji kufanya au kutofanya. Na unasema hivyo huku umeshupaza kabisa shingo.
 
Iweke hapa hiyo kanuni,mimi sijawahi kuiona.
 
Fact kwamba unabisha uwepo wa kanuni kama hiyo ni wazi upeo wako ni mdogo mno, samahani lakini. Naomba tuishie hapo tafadhali, tujadili mengine.
Fact bila kanuni? Weka hiyo kanuni, wewe umesema ni kanuni ya CAF ila uweki,maana kanuni zote zipo kimaandishi na ukivunja kuna adhabu zake. Sasa hujioni ww unaupeo mdogo maana unacho kiandika hata ww hukijui,ndio maana unashindwa kuiweka hiyo kanuni. Ila na kuambia hiyo kanuni haipo.

Halafu kuna uwezekano hata maana ya neno Fact hujui.Fact inatakiwa iambatane na reference, ila unauza chai reference hauna.
 
Sawa tuishie hapo. Sina interest ya kuendelea na huo mjadala
 
Back
Top Bottom