Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sisi tumelaaniwa na mwengeInaumiza na inakera sana. Juzi niliona JamiiForums uzi kuhusu Russia na Ukraine una trend sana. Nikauliza mbona hatujali yanayoendelea kwetu tunajadilo ya watu tu. Niliishia kukejeliwa.
Sasa tufanyeje? Tunatekwa, tunauwawa, Sisi hatujui ni kina nani, na Serikali wanasema hawajui🤣🤣🤣🤣🤣Heshima sana wanajamvi,
Katika miaka ya karibuni (labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya club mbili kubwa Simba na Dar Young Africa.
Ushabiki wa mpira, ngoma, kwaya, sarakasi, sana saana nyinginezo si jambo baya hasa katika kuburudisha na kuboresha afya ya akili.
Nimeanza kubaini kupitia ushabiki wa Simba na Yanga limezaliwa tatizo lingine jipya, vijana hawajui au hawataki kufahamu kuhusu nchi yao.
Hawajui Bandari zimeuzwa kwa Waarabu.
Hawajui Uwanja wa ndege wa Kimatiafa Kilimanjaro umeuzwa.
Hawajui Ngorngoro imeuzwa kwa waarabu.
Hawajui Zanzibar inaitawala Tanganyika (Tanzania Bara)
Hawajui ardhi ya nchi yao Tanganyika inauzwa kwa wageni.
Hawajui lolote kuhusu nchi yao.
Wakilala wakiamka Simba Day, Yanga Day huu upuuzi wa hizi team umewadumaza vijana wengi wa Kitanganyika badala ya kufikiri kuhusu nchi yao inavyoporwa kama wenzao wa Kenya wao wanakuambia "UBAYA UBWELA" siku wakistuka watakuta kila kitu kimeuzwa.
Ngongo kwa sasa Gairo.
Yanga bingwaaaan💚💚💛🖤💪💪💪
Fanya yako na kama inakukera jinyongeHeshima sana wanajamvi,

Huoni maza ananunua magoliSio vijana tu, hata watu wazima wakiweko wabunge.
Ningekuwa na Mamlaka mimi ningezifutilia mbali hizo Yanga na Simba
Kumbe na wewe sometimes unajitafuta na kujipata. It is a good posting by the way na nakuunga mkono kwa huh uzi.Heshima sana wanajamvi,
Katika miaka ya karibuni (labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya club mbili kubwa Simba na Dar Young Africa.
Ushabiki wa mpira, ngoma, kwaya, sarakasi, sana saana nyinginezo si jambo baya hasa katika kuburudisha na kuboresha afya ya akili.
Nimeanza kubaini kupitia ushabiki wa Simba na Yanga limezaliwa tatizo lingine jipya, vijana hawajui au hawataki kufahamu kuhusu nchi yao.
Hawajui Bandari zimeuzwa kwa Waarabu.
Hawajui Uwanja wa ndege wa Kimatiafa Kilimanjaro umeuzwa.
Hawajui Ngorngoro imeuzwa kwa waarabu.
Hawajui Zanzibar inaitawala Tanganyika (Tanzania Bara)
Hawajui ardhi ya nchi yao Tanganyika inauzwa kwa wageni.
Hawajui lolote kuhusu nchi yao.
Wakilala wakiamka Simba Day, Yanga Day huu upuuzi wa hizi team umewadumaza vijana wengi wa Kitanganyika badala ya kufikiri kuhusu nchi yao inavyoporwa kama wenzao wa Kenya wao wanakuambia "UBAYA UBWELA" siku wakistuka watakuta kila kitu kimeuzwa.
Ngongo kwa sasa Gairo.
Na hili suala la michezo limepunguza hata uwezo wa wanahabari wetu na kupunguza muda wa mijadala muhimu kwa Taifa letu. Ule ubobezi unaoonyeshwa na wachambuzi katika Vipindi vya michezo tungekuwa tunauona pia katika masula mengine ya kijamii na kisiasa naamini hii Nchi ingekuwa inaelekea katika njia nzuri zaidi. Tatizo katika nyanja nyingine muhimu tumekosa wachambuzi mahili na wabobezi wenye ujasiri pia .Wewe fuatilia hata kwenye vyombo vya habari utashangaa chambuzi za michezo zinapewa vipindi vingi sana na muda mrefu utafikiri hii nchi uchumi wake unategemea mpira.
Simlaumu mama, hii ni mbiinu amebuni na inamsaidia yeye kama kiongozi, as long as anawasoma wabongo wanachohitaji kusikia na kuongea na yeye anajielekeza huko, na anapata kile anachohitaji at the minimal cost possible.Huoni maza ananunua magoli
Wajamaa wanashangilia kama mazuzu
Akili yote inahamia huko
Huu upuuzi wa team za Mpira huko Kenya ulishazikwa siku nyingi, Watu wako busy na siasa maana ndizo zinazotoa mwongozo wa Taifa lao, siyo mambo ya Mpira . Hata Uganda team kubwa zilishapotea kama KCC and the likesNina wasi wasi hizi tema zinafadhiliwa na system inayopumbaza watanzania kwa maslahi ya kijani.
Ila.kweli Kenya hakuna Mpira wala team na hata wasanii hawaimbi mambo ya Kutanikana mitaroHuu upuuzi wa team za Mpira huko Kenya ulishazikwa siku nyingi, Watu wako busy na siasa maana ndizo zinazotoa mwongozo wa Taifa lao, siyo mambo ya Mpira . Hata Uganda team kubwa zilishapotea kama KCC and the likes
Na pia zinatia hasara Hazina yetu. Kila Gori linalolipwa tungekuwa tunajengea watoto wetu mashuleni Matundu Nane ya Vyoo vya shuleni. Kuna mashule ambako bado watoto zaidi ya 100 wanatumia tundu moja kinyume cha matakwa ya kiafya ya Tundu moja kwa wanafunzi 20-25.Klabu za Simba na Yanga ni nusu kaputi (general anesthetic) wanayoitumia serikali ya ccm kuwapumbaza Watanzania.
Na ht hili la utekaje wakiona linawasumbua sn watachomekea kituko chcht cha Yanga na Simba basi...Huoni maza ananunua magoli
Wajamaa wanashangilia kama mazuzu
Akili yote inahamia huko
YeahNa ht hili la utekaje wakiona linawasumbua sn watachomekea kituko chcht cha Yanga na Simba basi...