Ushabiki wangu Simba naweka kando, Yanga itayapita mafanikio yote ya Simba kwa msimu mmoja. Time will tell

sisi wana simba tuliridhika sana na robo fainali ona sasa yanga naona kabisa wanaenda kufanya makubwa zaidi ya hapo dahhh... INAUMIZA SANA JAMANI,INAUMIZAAAA
 
Binadamu tumeumbwa kusahau na sifa ya wanamichezo wa Tanzania ni unafiki
 
Binadamu tumeumbwa kusahau na sifa ya wanamichezo wa Tanzania ni unafikiView attachment 2574330View attachment 2574333View attachment 2574334
That was me kabla sijaona kikosi na performance ya Tp Mazembe

Hapo nilikiwa naikadiroa kwa makali yake ya kipindi kile ipo on peak.

Sasa angalia hizi screenshots baada ya kuona kiwango chake

Hapa nilikuwa kwenye mabishano na wewe ambaye kwa wakati huo ulikuwa unaitetea Tp Mazembe ionekane mmeifunga timu ngumu.



Hapa nilitabiri ushindi wa Yanga kabla mechi haijaanza, na ndio maana kwa chini u aona kuna comment ya shabiki wa Uto akiomba dua mechi isiishe kwa sare

Hapa chini nilii underrate Tp Mazembe kutokana na poor performance


Hapa nilikuwa natoa maoni kuhusu mechi ya Monastir na Tp Mazembe na kuonesha ninsi gani Tp Mazembe ni wabovu

Na hapa chini ndio niliweka prediction yangu kwenye mechi yenu ya leo


Naamini hizo screenshots uliziona ila kwakua hazikuwa zina feed ego yako ukaamua uzipotezee.

Hoja ya msingi bado iko palepale kuwa Tp Mazembe ni Zalan wa kikongo tu
 
Hayo yote uliyoonesha hapa ni baada ya TP Mazembe kufungwa na Yanga. Ungekuwa unajua mpira ungesema kabla ya Yanga hajacheza na TP Mazembe au baada ya TP Mazembe kumfunga Real Bamsko ungeyaandika hayo ungeonekana unajua kuchambua. Shida ya mashabiki wa Simba ni kuamini kuwa timu yoyote inayofungwa na yanga ni mbovu
 
Sio baada ya kufungwa na Yanga

Ni baada ya kuona performance yake kwa mara ya kwanza kwenye game yake na Yanga. Angalia usichanganye mambo hapo.

Maana yake ningeweza kusema maneno hayo hayo endapo ningeshuhudia performance ya namna hiyo kwenye mechi dhidi ya timu nyingine

Na hiyo ndio ilikuwa game yakwanza naishuhudia Tp Mazembe ikicheza, so awali nilikuwa nafikiria katika ubora ule wa miaka ya nyuma ambayo ilikuwa ni tishio.

Timu inaweza ikafungwa ila performance yake ikaweza kukupa makadirio ya kuweza kutegemea matokeo mazuri kwenye mechi zingine.

Na ndio maana hata leo sikutaka kupoteza muda kuangalia mechi yenu kwasababu sikutegemea kuona kitu cha tofauti na nilivyo bashiri
 
Kwa mwaka huu yanga kule shirikisho team ya kuiogopa ni pyramids tyuuh. Wale wengine akichanga karata vizuri anafika final km sio kuchukua kombe kabisaa.

Mwaka huu team za shirikisho sio za kutisha wala nn.
 
Kwa mwaka huu yanga kule shirikisho team ya kuiogopa ni pyramids tyuuh. Wale wengine akichanga karata vizuri anafika final km sio kuchukua kombe kabisaa.

Mwaka huu team za shirikisho sio za kutisha wala nn.
Angalau kidogo we kolo Leo umeongeo pwenti
 
Kwa hiyo vile mnawaza vichwani mwenu mnaamini itakuwa hivyo hivyo. Kwamba Simba itaishia robo halafu uto itafika final. Yaani mnaiuchukulia football kama netball.
Kwa hiyo unataka kusema simba itavuka hatua ya robo fainali!
 
Mngekuwa na timu nzuri msingetolewa CAFCL.
 
Reactions: BRN
Hata kama yanga wakifika fainali kwenye hilo kombe la losers bado itakuwa haijafikia mafanikio ya Simba!! Wakitaka kufikia na kuvuka mafanikio ya Simba basi itawabidi wafike nusu fainali au fainali ya caf champions league!! Kumsukuma mlevi mzembe tena mweleka mmoja to kwa dk90 siyo mafanikio ya kujivunia!! Ajisifu huko huko kwa losers wenzake!!
 
Timu iliyotolewa kwenye michuano ya awali caf champions league haiwezi kujisifu mbele ya timu iliyofikia robo fainali kwenye caf champions league!! Msijifanye hamlijui hilo!! You lost as far as CAFCL is concerned and you joined a company of losers in the CAF Confederation cup which is meant as a consolation cup for losers!!
 
Kwano na nyie utopolo mnashiriki supa kapu. Mashindano makubwa kuliko ukubwa wa bara la afrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…