Ushabiki wangu Simba naweka kando, Yanga itayapita mafanikio yote ya Simba kwa msimu mmoja. Time will tell

U.h.a.r.o.w
 
Kuna sehemu Simba iliteleza

Sajili zilijaa utapeli

Wachezaji hawachezi

Yanga wamejitahidi hadi kufika hapo walipofika
 
Simba alishafika fainali ya mashindano haya,mafanikio yapi yanga atayapita?
 
Watanzania tuache Roho mbaya kwenye ukweli tuseme yanga n tishio kwa Sasa baran Africa
 
Simba alishafika fainali ya mashindano haya,mafanikio yapi yanga atayapita?
Mashindano haya yameanzishwa mwaka 2004 eeh hiyo Simba alifika Fainali mwaka gani na alicheza na nani?
 
Huu ujinga ungeuandika wakati michuano ya Klabu Bingwa inaanza Yanga na Simba zote zikishiriki. Kuandika sasa hivi ni kuonesha ni mjinga kiasi gani.
 
Simba yuko nane Bora Afrika...hapo Yanga anampitaje sijui?!
 
Ushabiki umeweka pembeni lakini mwiko uliouweka huko MATAKONI umesahau kuutoa,,

Simba Hakuna shabiki kama wewe,,

UTOPOLO wahed.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Japo mm Simba ila yanga wako vzr
Japo mm Chadema ila Ccm
Japo mm ni timu konde ila wasafi
Japo mm mwalimu ila
Izo kauli huwa zinanipa raha sana ni kauli ya hovyo sana na hainaga maana kbsa
 
Maloser na mavibonde ya vipers yanajifariji kwa kumfunga kibonde wa vipers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…