Kauli za kiunafki hivi na kichawa chawaJapo mm Simba ila yanga wako vzr
Japo mm Chadema ila Ccm
Japo mm ni timu konde ila wasafi
Japo mm mwalimu ila
Izo kauli huwa zinanipa raha sana ni kauli ya hovyo sana na hainaga maana kbsa
Misimu miwili tumepata pesa lakini tumeshindwa kusajili wachezaji wazuri yote ni sababu ya ufisadi wa viongozi wetu na kukosa uzalendo tumenda kusajili magalasaTimu haina Aucho, haina Diarra, haina Aziz Ki, haina Morrison, haina Feitoto, haina Juma Shaaban, kocha Nabi hakuwepo na bado imemkafini Mazembe kwao.
Hata kama Mazembe ni wabovu lakn bado Yanga ni timu imara sana.They are very strong, very strong.
Sisi Simba tuendelee kula hela za Mo Dewji halaf tuwasajili akina Sawadogo tena. BUT kama yanga itakosa kwenda fainal itakuwa ni bahati mbaya t lkn wamekamilika kila idara.
In a nutshell, wako serious mno.Mno, mno, mno.
Hongereni sana.
Timu haina Aucho, haina Diarra, haina Aziz Ki, haina Morrison, haina Feitoto, haina Juma Shaaban, kocha Nabi hakuwepo na bado imemkafini Mazembe kwao.
Hata kama Mazembe ni wabovu lakn bado Yanga ni timu imara sana.They are very strong, very strong.
Sisi Simba tuendelee kula hela za Mo Dewji halaf tuwasajili akina Sawadogo tena. BUT kama yanga itakosa kwenda fainal itakuwa ni bahati mbaya t lkn wamekamilika kila idara.
In a nutshell, wako serious mno.Mno, mno, mno.
Hongereni sana.
Anachozungumza ni ukweli mtupu,viongozi wetu wanatuangusha Sana, Onyango kwasasa ubora umepungua hatuna mbadala. Baka ni msanii yaani timu yangu msimu labda itokee bahati kama iliyotufikisha hapo tulipo.Mleta uzi unakitu
Utopolo TAKATAKA tu
Tuache ushabiki maandazi Yanga wanakikosi kizuriYanga inaweza isichukue ubingwa wa shirikisho ila Wana timu Imara sitoshangaa Mwaka huu Wakacheza nusu na ikiwezekana final
🔨🔨🔨Nakazia
Nani ana kibaya?Tuache ushabiki maandazi Yanga wanakikosi kizuri
Kombe la CAF la wakati ule ndiyo baadae lilizaa kombe la shirikisho la sasa.Yani bonanza la Abiola ndio unafananisha na mashindano haya!?
Umeshawahi kuisikia tena Stella Abidjan tangu washinde lile bonanza la CAF?
Siyo kweli, kombe la shirikisho lilikuwa likiitwa kombe la Washindi.Kombe la CAF la wakati ule ndiyo baadae lilizaa kombe la shirikisho la sasa.
Hata ukikazwa wala hakuna mbaya.Nakazia
BUT kama yanga itakosa kwenda fainal itakuwa ni bahati mbaya t lkn wamekamilika kila idara.
In a nutshell, wako serious mno.Mno, mno, mno.
Hongereni sana.
Kombe la Shirikisho lilikuja baada ya kuunganisha CAF Cup na Kombe la Washindi.Siyo kweli, kombe la shirikisho lilikuwa likiitwa kombe la Washindi.
1993 klabu Bingwa walishiriki Malindi ya Zanzibar ndio walikuwa mabingwa wa Tanzania.
Kombe la wahindi walishiriki Pamba ya Mwanza ambao waliokuwa ni mabingwa wa Nyerere Cup ambayo Sasa hivi Ndio Azzam Cap yani FA.
Na Simba walishiriki bonanza la Chief Mashood Abiola ambalo lilijurikana kama CAF Cup ambalo kwa Sasa halipo kabisa.
Do your home work.
Wewe tuambie SHIRIKISHO aliyoshiriki SIMBA 1993 alishiriki kwa kigezo kipi?Kombe la Shirikisho lilikuja baada ya kuunganisha CAF Cup na Kombe la Washindi.
Twende kisomi maana najua tukienda kwa mtindo wa kubishana tu huwa hamkubali kushindwa. Nitakupa references tatu kuthibitisha ninachokwambia, na wewe nipe references zinazopinga nilichosema.
CAF Cup and Confederation Cup
CAF Confederation Cup
Stella Abidjan walitufunga kihalali kombe la Caf 1993
Ndiyo maana nasemaga nyie watu wa Yanga ni viumbe wa ajabu sana.Wewe tuambie SHIRIKISHO aliyoshiriki SIMBA 1993 alishiriki kwa kigezo kipi?
Bingwa wa Muungano alikuwa MALINDI
PAMBA bingwa wa FA
Na hao ndio walituwakikisha kimataifa. Haya tuambie wewe vigezo gani vilitumika wewe ushiriki shirikisho??
Kwahiyo mnachosema mmefika fainali ni nini?? Hoja hapo ni Simba kucheza fainali ya Shirikisho haya tuambie mlishiriki kama nani?? Hilo Kombe aliandaa Tajiri na Mgombea urais wa Nigeria wa wakati hup ABIOLA na 1992 ndipo lilianzishwa, je unajua vigezo vyake? Unajua timu zipi za TZ zilishiriki tena baada ya hiyo SIMBA?Ndiyo maana nasemaga nyie watu wa Yanga ni viumbe wa ajabu sana.
Hiyo mwenzio amenibishia kuwa CAF Cup haikuzaa Kombe la Shirikisho, nimekupa vielelezo vitatu. Wewe unakuja mbio mbio hata kutawaza umesahau, unaniuliza vigezo vya CAF Cup, kwani vigezo vya kushiriki CAF Cup vinaondoa hoja iliyokuwepo mezani?
Na nani amesema Simba alishiriki Shirikisho 1993? Soma hizo references ili uache kuuliza maswali ya kipuuzi.
Sishangai na nakusamehe kwa kunipotezea muda wangu ila kwa kuwa mimi ni mtu wa Mungu, watu kama nyie ni wa kuwasamehe tu. Nimekwambia usome hizo references, either umegoma au haujaelewa au hautaki kukubaliana na ulichokisoma. Mkifeli mnasema elimu ngumu.Kwahiyo mnachosema mmefika fainali ni nini?? Hoja hapo ni Simba kucheza fainali ya Shirikisho haya tuambie mlishiriki kama nani?? Hilo Kombe aliandaa Tajiri na Mgombea urais wa Nigeria wa wakati hup ABIOLA na 1992 ndipo lilianzishwa, je unajua vigezo vyake? Unajua timu zipi za TZ zilishiriki tena baada ya hiyo SIMBA?