Ushabiki wangu Simba naweka kando, Yanga itayapita mafanikio yote ya Simba kwa msimu mmoja. Time will tell

Nashauri ujengewe sanamu lako pale msimbazi.shabiki usie mnafiki na uko vizuri upstairs
 
Japo mm Simba ila yanga wako vzr
Japo mm Chadema ila Ccm
Japo mm ni timu konde ila wasafi
Japo mm mwalimu ila
Izo kauli huwa zinanipa raha sana ni kauli ya hovyo sana na hainaga maana kbsa
Kauli za kiunafki hivi na kichawa chawa
 
Timu haina Aucho, haina Diarra, haina Aziz Ki, haina Morrison, haina Feitoto, haina Juma Shaaban, kocha Nabi hakuwepo na bado imemkafini Mazembe kwao.

Hata kama Mazembe ni wabovu lakn bado Yanga ni timu imara sana.They are very strong, very strong.

Sisi Simba tuendelee kula hela za Mo Dewji halaf tuwasajili akina Sawadogo tena. BUT kama yanga itakosa kwenda fainal itakuwa ni bahati mbaya t lkn wamekamilika kila idara.

In a nutshell, wako serious mno.Mno, mno, mno.

Hongereni sana.
Misimu miwili tumepata pesa lakini tumeshindwa kusajili wachezaji wazuri yote ni sababu ya ufisadi wa viongozi wetu na kukosa uzalendo tumenda kusajili magalasa
 
Utopolo kama Utopolo
Timu haina Aucho, haina Diarra, haina Aziz Ki, haina Morrison, haina Feitoto, haina Juma Shaaban, kocha Nabi hakuwepo na bado imemkafini Mazembe kwao.

Hata kama Mazembe ni wabovu lakn bado Yanga ni timu imara sana.They are very strong, very strong.

Sisi Simba tuendelee kula hela za Mo Dewji halaf tuwasajili akina Sawadogo tena. BUT kama yanga itakosa kwenda fainal itakuwa ni bahati mbaya t lkn wamekamilika kila idara.

In a nutshell, wako serious mno.Mno, mno, mno.

Hongereni sana.
 
Mleta uzi unakitu
Anachozungumza ni ukweli mtupu,viongozi wetu wanatuangusha Sana, Onyango kwasasa ubora umepungua hatuna mbadala. Baka ni msanii yaani timu yangu msimu labda itokee bahati kama iliyotufikisha hapo tulipo.
 
Yani bonanza la Abiola ndio unafananisha na mashindano haya!?

Umeshawahi kuisikia tena Stella Abidjan tangu washinde lile bonanza la CAF?
Kombe la CAF la wakati ule ndiyo baadae lilizaa kombe la shirikisho la sasa.
 
Siyo kweli, kombe la shirikisho lilikuwa likiitwa kombe la Washindi.
1993 klabu Bingwa walishiriki Malindi ya Zanzibar ndio walikuwa mabingwa wa Tanzania.

Kombe la wahindi walishiriki Pamba ya Mwanza ambao waliokuwa ni mabingwa wa Nyerere Cup ambayo Sasa hivi Ndio Azzam Cap yani FA.

Na Simba walishiriki bonanza la Chief Mashood Abiola ambalo lilijurikana kama CAF Cup ambalo kwa Sasa halipo kabisa.

Do your home work.
 
Kombe la Shirikisho lilikuja baada ya kuunganisha CAF Cup na Kombe la Washindi.

Twende kisomi maana najua tukienda kwa mtindo wa kubishana tu huwa hamkubali kushindwa. Nitakupa references tatu kuthibitisha ninachokwambia, na wewe nipe references zinazopinga nilichosema.

CAF Cup and Confederation Cup

CAF Confederation Cup

Stella Abidjan walitufunga kihalali kombe la Caf 1993

Pia Stella Abidjan bado ipo kwenye ligi kuu ya Ivory Coast ila kiwango na hadhi yake imeshuka kama ambavyo imetokea kwa timu nyingi katika historia. Sasa hivi inaitwa Stella Club d'Adjamé.
 
Kombe la Shirikisho lilikuja baada ya kuunganisha CAF Cup na Kombe la Washindi.

Twende kisomi maana najua tukienda kwa mtindo wa kubishana tu huwa hamkubali kushindwa. Nitakupa references tatu kuthibitisha ninachokwambia, na wewe nipe references zinazopinga nilichosema.

CAF Cup and Confederation Cup

CAF Confederation Cup

Stella Abidjan walitufunga kihalali kombe la Caf 1993
Wewe tuambie SHIRIKISHO aliyoshiriki SIMBA 1993 alishiriki kwa kigezo kipi?
Bingwa wa Muungano alikuwa MALINDI
PAMBA bingwa wa FA
Na hao ndio walituwakikisha kimataifa. Haya tuambie wewe vigezo gani vilitumika wewe ushiriki shirikisho??
 
Ndiyo maana nasemaga nyie watu wa Yanga ni viumbe wa ajabu sana.

Hiyo mwenzio amenibishia kuwa CAF Cup haikuzaa Kombe la Shirikisho, nimekupa vielelezo vitatu. Wewe unakuja mbio mbio hata kutawaza umesahau, unaniuliza vigezo vya CAF Cup, kwani vigezo vya kushiriki CAF Cup vinaondoa hoja iliyokuwepo mezani?

Na nani amesema Simba alishiriki Shirikisho 1993? Soma hizo references ili uache kuuliza maswali ya kipuuzi.
 
Kwahiyo mnachosema mmefika fainali ni nini?? Hoja hapo ni Simba kucheza fainali ya Shirikisho haya tuambie mlishiriki kama nani?? Hilo Kombe aliandaa Tajiri na Mgombea urais wa Nigeria wa wakati hup ABIOLA na 1992 ndipo lilianzishwa, je unajua vigezo vyake? Unajua timu zipi za TZ zilishiriki tena baada ya hiyo SIMBA?
 
Sishangai na nakusamehe kwa kunipotezea muda wangu ila kwa kuwa mimi ni mtu wa Mungu, watu kama nyie ni wa kuwasamehe tu. Nimekwambia usome hizo references, either umegoma au haujaelewa au hautaki kukubaliana na ulichokisoma. Mkifeli mnasema elimu ngumu.

CAF CUP pamoja na kwamba zawadi ya mshindi ilitolewa na Abiola yalibaki kuwa ni mashindano ya yaliyoendeshwa na CAF na yalifanyika kwa miaka 10 na mwaka 2004 mashindano hayo hayo yaliunganishwa na hayo mengine kutengeneza kombe la shirikisho. Hili nilishakwambia hapo juu lakini kwa kuwa kichwa chako chepesi bado unalileta.

Kuhusu timu zilizoshiriki baada ya hapo, kwa taarifa yako Yanga alishiriki mwaka uliofuata 1994 na kwa kuwa ni jadi yenu kutofanya vizuri mashindano ya kimataifa, mlitolewa round ya kwanza, imagine aibu hiyo!

Baada ya hapo walioshiriki Malindi 1995, Small Simba ya Zanzibar 1996, Simba 1997, Mlandege 1998, Yanga 1999 (mkatupwa tena round ya kwanza), Mtibwa 2000, 2001, 2002.

2004 ndiyo yakaunganishwa na kombe la washindi kutengeneza kombe la shirikisho.

Kukusaidia zaidi, vigezo vilikuwa timu oliyoshika nafasi ya pili katika ligi ya nchi yao, kwa hiyo vigogo wengi tu wameshiriki mashindano hayo.

Kwa lugha nyingine, mashindano hayo ambayo Simba alicheza fainali na kombe uwanjani, Yanga ameshiriki mara mbili na haijawahi kuvuka round ya kwanza.
 
Back
Top Bottom