Ushabiki wangu Simba naweka kando, Yanga itayapita mafanikio yote ya Simba kwa msimu mmoja. Time will tell

Wewe tuambie SHIRIKISHO aliyoshiriki SIMBA 1993 alishiriki kwa kigezo kipi?
Bingwa wa Muungano alikuwa MALINDI
PAMBA bingwa wa FA
Na hao ndio walituwakikisha kimataifa. Haya tuambie wewe vigezo gani vilitumika wewe ushiriki shirikisho??
Aaahaaaaa
 
Kumbe hata shirikisho hawana jipya

Ahahahhahah
 
Mkuu kumbe hat shirikisho hamna Cha kuonyesha

Aahahahahaha
 
Mkuu kumbe hat shirikisho hamna Cha kuonyesha

Aahahahahaha
Naona umekuja kumbeba mwenzio 🤣😂🤣

Ila Yanga anavyojitutumua sasa hivi utadhani kwenye historia yake amewahi kufanya lolote la maana hadi anakebehi waliofika robo fainali. Ukiangalia hizi rekodi zenu unabaki kucheka tu 🤣😂🤣
 
Relax

Tunaenda kufuta rekodi zenu zote

Ziwe za ukweli au uongo
 
Useless fact
 
Msimu mmoja kivipi wakati mwaka jana mmepigwa na wanaijeria nje ndani?
 
Relax

Tunaenda kufuta rekodi zenu zote

Ziwe za ukweli au uongo
Hapo ndiyo Yanga mnapokoseaga. Mnatakiwa kuwa inspired na mafanikio ya Simba badala ya kutaka kushindana nayo.

Hauwezi KUFUTA mafanikio ya mtu hata ukija na wewe kuyapata au hata kumzidi. Ndiyo maana TP Mazembe pamoja na kushuka kwao, bado tunataja mafanikio yao ya nyuma.

Yanga hata ikitokea bahati mbaya amechukua kombe mwaka huu la shirikisho, haitafuta mafanikio ya Simba (ndiyo kufika robo, nusu fainali au fainali bila kuchukua kombe ni mafanikio pia ndiyo maana timu huwa zinatambulika kwa mafanikio hayo).
 
Utaambiwa we ni manara
 
Yanga ina watu wapumbavu sana,utasikia yanakebehi Hakuna Kombe la robo fainali huku yanajitapa kuwa tm ya kwanza tz kumpiga TP nje ndani kwani Kuna kombe la kumpiga mtu nje ndani? Takataka hizi inzi za kijani
 
Yanga ina watu wapumbavu sana,utasikia yanakebehi Hakuna Kombe la robo fainali huku yanajitapa kuwa tm ya kwanza tz kumpiga TP nje ndani kwani Kuna kombe la kumpiga mtu nje ndani? Takataka hizi inzi za kijani
Wanakejeli mafanikio ya Simba kwa kufika fainali wakiita bonanza, kumbe hawajui timu yao imeshiriki mara mbili na mara zote wakatupwa round ya kwanza ndiyo maana hakuna anayekumbuka wala kuwaongelea. Niliwahi kumwambia mtu humu naijua hiyo Yanga yao kuzidi wao wenyewe.
 
Hadi shoga maarufu wa jf nae anashabikia mpira!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…