Ushabiki wangu Simba naweka kando, Yanga itayapita mafanikio yote ya Simba kwa msimu mmoja. Time will tell

Ushabiki wangu Simba naweka kando, Yanga itayapita mafanikio yote ya Simba kwa msimu mmoja. Time will tell

Unaposema mafanikio yote una maana Gani?
Ungesema Kwa upande wa shirikisho ungeeleweka.
Ni lini yanga kafika robo club bingwa?
Muda mwingine akil zetu ni,[emoji706][emoji706]
 
Unaposema mafanikio yote una maana Gani?
Ungesema Kwa upande wa shirikisho ungeeleweka.
Ni lini yanga kafika robo club bingwa?
Muda mwingine akil zetu ni,[emoji706][emoji706]
Elewa maana ya neno ''itayapita mafanikio'' mbona kama vile mwalimu wako alikuwa na kazi kubwa darasani!!
 
Unaposema mafanikio yote una maana Gani?
Ungesema Kwa upande wa shirikisho ungeeleweka.
Ni lini yanga kafika robo club bingwa?
Muda mwingine akil zetu ni,[emoji706][emoji706]
Yanga alifika robo klabu bingwa 1998
 
Yani umesha admit kuwa Tp Mazembe ni wabovu still unawapa hope ya kufika mbali, means wawe na muendelezo wa kukutana na wabovu wa namna hiyo

Sisi wengine tulisha tabiri uwezekano wa Uto kupata pointi 3 huko Kongo, wala sio jambo la kustua kuona wameshinda

Uto haijakutana na upinzani mkubwa wa kutisha mpaka uanze kuwa picture katika level za juu wakati washindani wake wote almost ni weak.

Simba amepita kwenye mabonde na majabali amejitengenezea ufalme wake kwa kupambana na miamba mikubwa, Simba ni role model wa Uto.

Uto kila akifikiria mafanikio makubwa kimataifa basi sehemu ya kwanza kutazamia ni kumuangalia Simba anafanyaje fanyaje mpaka inawezekana.
Unaweza kuwa role model wa mtu akakupita mafanikio
 
Back
Top Bottom