Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu ya bandari imeishia wapi ? Hao CCM wamekaa pamoja kujadili , wapo wasomi wame'calculate risk before deciding on a single step forward....Sio rahisi hata ikitokea kesi wanajua wanajitetea vip wanazo points za kutosha .The West has a functioning brain, wanaangalia na historia ya nchi, na pia wanaangalia na vitu vya ku-react vile vile. Unafikiri hawaoni ya kina Kagame, Paul Biya, ya huko Sudani Kusini , huko Nigeria + na huko Chad yanayoendelea.
Kuna mitafaruku mengine wont bring good PR to them, wakijiingiza. Huu wameuona unawafaa
Yani, kumbe wewe unaamini waliopo serikalini ni good-faith actors???Lol! hivi ni miradi mingapi imepita na mikataba yake tumegundua ilikuwa ni upigaji tu wa watu wachache after the fact??Ishu ya bandari imeishia wapi ? Hao CCM wamekaa pamoja kujadili , wapo wasomi wame'calculate risk before deciding on a single step forward....Sio rahisi hata ikitokea kesi wanajua wanajitetea vip wanazo points za kutosha .
Nina uhakika serikali hapo inaenda kujenga mradi wa kiuchumi tena eneo ya kimkakati ..Hataa wawe wanyama kiasi gani sio rahisi kufanya unyama kwa wananchi tena wamasai ni jamii safi inayotambulisha TZ kimataifa .
Wazung wanajua watanzania halisi ni jamii ya kimasai .
Wanafaidakaje na hii migogoro katika hizi nchi?Hiyo Ford ilishutumiwa kufadhili maandamano kenya
Ngoja tuone si tupo hapa ,Dp world tulikuwepo pia tambua watu awamu ya kwanza walishahama...Yani, kumbe wewe unaamini waliopo serikalini ni good-faith actors???Lol! hivi ni miradi mingapi imepita na mikataba yake tumegundua ilikuwa ni upigaji tu wa watu wachache after the fact??
Kosa lako ni kuamini viongozi wako pale ku-represent wananchi wao! Wrong
Wanajua waoWanafaidakaje na hii migogoro katika hizi nchi?
Lake westMkoa upi uliwahi kufutwa?
Basi huo ni umbea tuWanajua wao
Meaning tarafa,lata,wilaya zaweza anzishwa na kufutwaMkoa ni kwa ajili ya Watu wote 😂
Umbea wakati mamlaka za kenya ziliwashutumu,na sasa tzBasi huo ni umbea tu
Ziliwashutumu kufanyaje? Mamlaka za Tanzania zinawashutumu kufanyaje?Umbea wakati mamlaka za kenya ziliwashutumu,na sasa tz
Hatuna Marafiki katika hizo nchi hivyo tusaidie wewe kuuliza kwa Waamerika Biden, Obama, FDR wamewafanyia ukatili gani, pia tusaidie kuuliza kwa Waingereza Starmer amewafanyia ukatili gani.ask the Americans(Biden,Obama FDR n.k), British(under Starmer) etc. Serikali zote duniani as long as zinaongozwa na wanadamu zina asili ya udhalimu dhidi ya raia wanaowatawala.
hovyo vijisenti haviwezi kufua dafu, eti kuvuruga umaja, amani na utulivu humu nchini? thubutu....Pamoja na juhudi na nia njema za Serikali, kumekuwepo na makundi mbalimbali yanayopokea fedha kutoka nje ili kufitinisha Wamasai na wananchi dhidi ya serikali.
Mfano wa hili ni taasisi ya Mwanzo inayoongozwa na Maria Sarungi, ambayo imepokea zaidi ya dola za Kimarekani 400,000, sawa na zaidi ya shilingi bilioni moja, kwa ajili ya kuendesha kampeni ya kuhamasisha Wamasai wasihame na pia kuichafua serikali.
Swali la kujiuliza ni kwa nini mashirika ya kimataifa yanawekeza mabilioni kuyafadhili mashirika kama yale ya Maria Sarungi na mengineyo kwa lengo la kuleta mgongano kati ya serikali na wananchi wake?
Hali ilivyo Sasa
Kwa sasa, mchakato wa uhamisho unaendelea, huku idadi kubwa ya familia za Wamasai zikiwa zimehamia maeneo mapya kwa hiari.
Serikali inaendelea kufuatilia hali hiyo kwa karibu, ikitoa msaada unaohitajika kwa wale waliohamia na kudumisha njia za wazi za mawasiliano na wale waliobaki.
Changamoto zilizopo Ngorongoro ni ishara ya masuala mapana yanayokabili jitihada za uhifadhi barani Afrika.
Mbinu ya serikali ya Tanzania inaonyesha sera yenye uwajibikaji na maono inayoleta usawa kati ya uhifadhi wa mazingira na watu walioishi kwa amani na mazingira hayo kwa karne nyingi.
Hitimisho
Uhamisho wa Wamasai kutoka Ngorongoro ni ushahidi wa kujitolea kwa serikali ya Tanzania kwa maendeleo endelevu.
Kwa kuweka kipaumbele uhifadhi na ustawi wa Wamasai, serikali inafanya kazi kuhakikisha kuwa Eneo la Hifadhi la Ngorongoro linabaki kuwa urithi wa dunia unaotambulika, huku pia ikiunda mustakabali mzuri kwa watu wa jamii ya Wamasai.
Suala hili tata linahitaji uelewa na msaada kutoka kwa pande zote zinazohusika. Hatua za serikali ni kielelezo cha kujitolea kwake kufanya yaliyo bora kwa mazingira na watu wake, sasa na katika siku zijazo.

Pamoja na juhudi na nia njema za Serikali, kumekuwepo na makundi mbalimbali yanayopokea fedha kutoka nje ili kufitinisha Wamasai na wananchi dhidi ya serikali.

Ziliwashutumu kufanyaje? Mamlaka za Tanzania zinawashutumu kufanyaje?
Wanafuta Mipaka siyo Watu 😂Meaning tarafa,lata,wilaya zaweza anzishwa na kufutwa