DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Serikali imechafuka yenyewe Wananchi Ngorongoro wadai kupunguziwa huduma, Serikali yajibuMfano wa hili ni taasisi ya Mwanzo inayoongozwa na Maria Sarungi, ambayo imepokea zaidi ya dola za Kimarekani 400,000, sawa na zaidi ya shilingi bilioni moja, kwa ajili ya kuendesha kampeni ya kuhamasisha Wamasai wasihame na pia kuichafua serikali.