Ushahi wa Mabilioni ya Ford kwa Maria Sarungi kuchochea migogoro.

Ishu ya bandari imeishia wapi ? Hao CCM wamekaa pamoja kujadili , wapo wasomi wame'calculate risk before deciding on a single step forward....Sio rahisi hata ikitokea kesi wanajua wanajitetea vip wanazo points za kutosha .

Nina uhakika serikali hapo inaenda kujenga mradi wa kiuchumi tena eneo ya kimkakati ..Hataa wawe wanyama kiasi gani sio rahisi kufanya unyama kwa wananchi tena wamasai ni jamii safi inayotambulisha TZ kimataifa .

Wazung wanajua watanzania halisi ni jamii ya kimasai .
 
Yani, kumbe wewe unaamini waliopo serikalini ni good-faith actors???Lol! hivi ni miradi mingapi imepita na mikataba yake tumegundua ilikuwa ni upigaji tu wa watu wachache after the fact??

Kosa lako ni kuamini viongozi wako pale ku-represent wananchi wao! Wrong
 
Ngoja tuone si tupo hapa ,Dp world tulikuwepo pia tambua watu awamu ya kwanza walishahama...
 
ask the Americans(Biden,Obama FDR n.k), British(under Starmer) etc. Serikali zote duniani as long as zinaongozwa na wanadamu zina asili ya udhalimu dhidi ya raia wanaowatawala.
Hatuna Marafiki katika hizo nchi hivyo tusaidie wewe kuuliza kwa Waamerika Biden, Obama, FDR wamewafanyia ukatili gani, pia tusaidie kuuliza kwa Waingereza Starmer amewafanyia ukatili gani.
 
Kama Dola inanyanyasa Wapinzani na Wamasai basi Ford Foundation na Taasisi nyingine zitasaidia ili tupaze sauti.
 
hovyo vijisenti haviwezi kufua dafu, eti kuvuruga umaja, amani na utulivu humu nchini? thubutu....

kama taifa tumejipanga vizuri sana bana gentleman
 
๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’
 

Na Shivji anapokea tsh ngapi?Mwabukusi, na sisi watanzania wengine bado hatujapewa zetu.tutapewa lini?though hatuachi kutetea wamasai
 
Yaan huo unaita ushahidi kweli mtu mzima?Nilifikili umeattach proof of payment from Ford to Maria Sarungi Acc?

Let us be serius tunapojadili mambo ya msingi Kama watu wazima hapa hakuna mtoto.
Leta Tangibile evidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ