DolphinT JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 2,014 Reaction score 2,979 Aug 20, 2024 #41 mapessa said: Mfano wa hili ni taasisi ya Mwanzo inayoongozwa na Maria Sarungi, ambayo imepokea zaidi ya dola za Kimarekani 400,000, sawa na zaidi ya shilingi bilioni moja, kwa ajili ya kuendesha kampeni ya kuhamasisha Wamasai wasihame na pia kuichafua serikali. Click to expand... Serikali imechafuka yenyewe Wananchi Ngorongoro wadai kupunguziwa huduma, Serikali yajibu
mapessa said: Mfano wa hili ni taasisi ya Mwanzo inayoongozwa na Maria Sarungi, ambayo imepokea zaidi ya dola za Kimarekani 400,000, sawa na zaidi ya shilingi bilioni moja, kwa ajili ya kuendesha kampeni ya kuhamasisha Wamasai wasihame na pia kuichafua serikali. Click to expand... Serikali imechafuka yenyewe Wananchi Ngorongoro wadai kupunguziwa huduma, Serikali yajibu