Ushahidi huu hapa, hakukuwa na Tender kama Waziri Mbarawa alivyosema leo

Ushahidi huu hapa, hakukuwa na Tender kama Waziri Mbarawa alivyosema leo

Hakuna s
najiuliza, kama mkataba usingevujishwa ungepelekwaje Bungeni kupitishwa? si ni lazima ulikuwa uwe hadharani kwa vyovyote vile?

JESUS IS CHRIST
najiuliza, kama mkataba usingevujishwa ungepelekwaje Bungeni kupitishwa? si ni lazima ulikuwa uwe hadharani kwa vyovyote vile?

JESUS IS CHRIST
Huu Si mkataba wa kwanza kuletwa bungeni,

Kuletwa bungeni na wabunge kuusoma ni jambo moja, lakini kuucopy na kuupaste kwenye public ni jambo jingine.
 
Akikwambia walizichuja wakiwa kwenye mapumziko ya lunch baada ya chai ya asubuhi utajibu nini ?

Mzizi wa fitina na kuleta sheria tuache usiri kwenye mikataba ya Taifa (we need transparency) zaidi ya hapo tutakuwa tunasibiri kitu kivuje (kama kikivuja) na kikivuja tutabishania semantics na mwisho wa siku mkiwabana wakibadilisha who is to say hawatabadilisha tena kwenye expo nyingine ?!!
 
Back
Top Bottom