Ushahidi huu hapa, hakukuwa na Tender kama Waziri Mbarawa alivyosema leo

Ushahidi huu hapa, hakukuwa na Tender kama Waziri Mbarawa alivyosema leo

Sirikali Ina taratibu za manunuzi na kutangaza tenda kwenye magazeti ila pia huwa naona wakati mwingine wanapindisha wanampa vendor mmoja direct bila kutangaza tenda kwa maslahi mapana ya ujamaa wetu sasa sijui kama Ile kesi ya Mbeya itaangalia na hilo kwenye huu Mkataba wa bandari , maana ni Mali ya umma na umma ulipaswa kufahamu mchakato wa Mali zao kuuzwa kwa waarabu.

Kama Kuna makampuni Saba yaliyo bid ni vizuri yawekwe hadharani wajulikane wazee wa madili ya Mali za umma na labda ni vizuri kufahamu ni lini hayo makampuni yalipewa taarifa na yalituma tenda na tenda ilitangazwa lini na wapi!

Yule Mgogo Nduguyai aisee aliona mbali achongewe sanamu na tumpe Maua yake! Yaani tunauzwa hivi hivi huku tunajiona!
 
hiyo tenda ilitangazwa wapi, mbona hatujaiona tulete ofa zetu kisha zishindanishwe huo mchakato kwann ulifanyika kwa siri wakati bandari sio mali yao binafsi
 
Kabla ya Mkataba huu niliamini Wazanzibar wote ni wacha Mungu na Wana hofu ya Allah, kumbe Nilikuwa najidanganya. Wapo waongo, Wanafiki, Wazandiki na hata Wazushi.
Umesahau kwao kulawitiana kesi zinamalizwa kifamilia,pia bikra kule zipo mbele tu
 
Huu mkataba wa DP World umepunguza sana imani ya wananchi kwa CCM na Serikali yake. Mwaka 2025 nusu ya Wabunge wa CCM hawatarudi mjengoni. Time will tell.
 
Nyamaza kabisa. CCM ni chama cha waadilifu, wachapa kazi na wazalendo!
Wacha weeeeee
images (35).jpeg
 
Back
Top Bottom