Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Achana na kitu inaitwa faranga mkuu!! Refer yuda iskarioti!!Kabla ya Mkataba huu niliamini Wazanzibar wote ni wacha Mungu na Wana hofu ya Allah, kumbe Nilikuwa najidanganya. Wapo waongo, Wanafiki, Wazandiki na hata Wazushi.
Hamuone aibu kumwita huyo mama Dr.jamaniHizo picha ni photoshop za wapinzani wali edit ili kutuchafua, uzuri mchezo wote watanzania wanaujua. CCM ya Dkt Samia ni imara zaidi na imejaa uzalendo na uadilifu!
najiuliza, kama mkataba usingevujishwa ungepelekwaje Bungeni kupitishwa? si ni lazima ulikuwa uwe hadharani kwa vyovyote vile?
JESUS IS CHRIST
Huu Si mkataba wa kwanza kuletwa bungeni,najiuliza, kama mkataba usingevujishwa ungepelekwaje Bungeni kupitishwa? si ni lazima ulikuwa uwe hadharani kwa vyovyote vile?
JESUS IS CHRIST
Mkuu I hate uongo, ila kwa kiwango chako...it's a debate for another day, huku lingusenguse hadi leo tunapewa uongo kuhusu maji Safi na salamaDo you real hate uongo than I do?????
She is a real Dr. Samia!Hamuone aibu kumwita huyo mama Dr.jamani
Mbarawa muongo sanaWaswahili wanasema, Kwa enzi hizi, Muogope MUNGU na Teknolojia. Naomba msome kipende AView attachment 2687881
View attachment 2687882
Kumekuchaaaaaaaa nasema kumekuchaaaaaaaa hata WEWE?Mbarawa muongo sana
Hahahahaha 🤣Huyo mzee atafia chooni kwa uongo
Mbarawa muongo sana
Kuitetea CCM inataka moyo sana sana especially when you're not Kwa list yaoMkuu umepoa sana au umelamba asali