Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Aise jitahidi upitie linear hii itakusadia. Hizo descrete, St's, proba hazitumiki kufanya data fit kwenye algorithm za AI.Hahahahaa, sijawahi kuzisikia mkuu, hata discrete mathematics sijasoma achilia mbali statistics na probability
Ila punguza hate, it's not good for your health, line yako ya kwanza tu imeonesha hilo
Aisee ni ya kipumbavu sasa kama ndo hivi. Au ina version za ukweli na uwongo au ni issue ya updating? Au haihitaji challenge? Sasa kama mtu anaitumia kuandikia vitu rasmi kama academic papers au presentations inakuwaje? Hahaaaa ai bot in virus ? This AI is indeed not to be trusted.Angalia isije ikawa wewe ndio hujui.....
Mfano mwepesi ni huu.
Jibu ililotoa mwanzo lilikuwa sahihi, lakini nimeikosoa imekubali.
Sio kama ipo sahihi ila vizuri kupitia, ukiwa hujui unachofanya.
Hii kitu haifai.
View attachment 2695366
Inatakiwa awe anajua anachokitafuta kule.Aisee ni ya kipumbavu sasa kama ndo hivi. Au ina version za ukweli na uwongo au ni issue ya updating? Au haihitaji challenge? Sasa kama mtu anaitumia kuandikia vitu rasmi kama academic papers au presentations inakuwaje? Hahaaaa ai bot in virus ? This AI is indeed not to be trusted.
Eti toy!!!! wewe unaweza kuandaa hata robo ya hizo algorthms zilizotumika kuitengeneza ChatGTP? kumbuka hizo model zinaboreshwa kila wakati na zina learn kama wewe ni mkali ungeandaa os yako ya kufanya pentest badala ya kung'ang'ania Kali linux iliyoandaliwa na haohao unawaita wanametengeneza toy hujui kitu chochote acha kujiboost kipumbavu hapaHello bosses and roses,
Miezi kadhaa iliopita nilisikia watu wanatishia kwamba kwa kuwa ChatGPT ina uwezo wa kugenerate 'codes' na kutengeneza algorithms basi sector ya programming nayo imeingiliwa na hili 'TOY'. Naliita toy sababu kwangu mimi naona ni Toy tu hasa tukilileta kwenye sector ya programming na kufuma algorithms.
Kabla ya kuendelea Kwanza niweke vitu kadhaa sawa,
1) Programming sio tu kuandika codes, programming inahusisha pia kutengeneza algorithms
2) ChatGPT na A.I model yake inayotumia (GPT3 na GPT3.5), ni helpful, lakini sio 'super-helpful' kama ilivyokuwa inaaminishwa hapo zamani. Kwa tasks ndogo ndogo na zisizohitaji uangalizi sana hili 'Toy' linafaa sana. Ila kama wewe ni programmer na unalitumia kutengeneza baadhi ya codes za kwenye project zako basi umepotea njia, sababu codes zenyewe ukizipitia kiundani kunakua na error nyingi hasahasa kama algorithm ipo complicated.
Tukirudi kwenye lengo la uzi, baada ya kusikia hizo tetesi nimejitahidi kutafuta muda ili niende kui-challenge na mimi nijionee kama kweli hizo sifa wanazoipa ChatGPT upate wa algorithms na coding ziko sawa.
Jana nikapata muda ikabidi nii-challenge na algorithm mojawapo. Ikawa inatengeneza flow na code kisha mimi nazipitia then naiambia hapa na hapa umekosea inabidi iwe hivi na hivi. Ushahidi naweka hapa chini
View attachment 2695336View attachment 2695337View attachment 2695338View attachment 2695339
Na hio ilikua ni algo simple tu ambayo mimi nilitengeneza kwa sio zaidi ya siku moja ila ikawa perfect lkn ya chatGPT imejaza inefficiences nyingi sana, hizo ni baadhi tu ya apologies alizokua anafanya baada ya kumkosoa.
Sasa kwa mnaotumia hii tool kufanya projects serious (kama wanavyojinadi baadhi) jitahidini kuzipitia vizuri hizo codes, sababu hakuna raha(hahahahaa) kama kupata bugs kwenye program yako na hujui zinapotokea na raha zaidi ni pale ambapo huelewi hata operation-flow ya hizo codes ulizo-copy na ku-paste kwenye hio project.
CONCLUSION
Nimebakiza kutest uwezo wa COPILOT ya github sababu nayo ni tishio kwenye hii sector hasa upande wa kupunguza nafasi za kazi. Lakini kwa matokeo yoyote yale, UNIQUE HUMAN INTELLIGENCE itadumu na hivyo shule na taasisi za elimu hata watu binafsi, mmoja mmoja kwa nafasi yake wajue education system ya sasahivi haina nafasi tena sababu haijalenga kukuza 'UNIQUE HUMAN INTELLIGENCE' imelenga zaidi kutusomesha kwa namna ambavyo na sisi tunasomesha hizihizi AI models.
Yaan kama wewe ni mzazi na una mtoto shule ujue kwamba mbinu ilotumika kufundisha hili toy la CHATGPT ndio mbinu ile ile inayotumika kwa sasa kumfundishia mtoto wako shuleni, tofauti ni kwamba mtoto wako hana speed ya kutosha na memory yake haifanani na ya computer, Kama umenielewa hadi hapo basi hiki kizazi cha elimu ya kukaririshana hasa kwenye field za Computer Science na Programming ndicho kitakachokuja kuwa replaced na tools kama ChatGPT lakini sio wale mabingwa wa kusuka systems na algos, kwa hawa ChatGPT bado ni Toy 'labda' mpaka miaka 50 ijayo.
Na pia kama wewe ni Programmer au Developer lakini unaogopa kwamba ChatGPT itakuja kuchukua kazi yako basi jua tu uwezo wako bado hautoshi kujiita Developer au Programmer, so aidha quit ukafanye mambo mengine au rudi ukajifunze tena
Happy coding!
kali linux
HahahahaaaaEti toy!!!! wewe unaweza kuandaa hata robo ya hizo algorthms zilizotumika kuitengeneza ChatGTP? kumbuka hizo model zinaboreshwa kila wakati na zina learn kama wewe ni mkali ungeandaa os yako ya kufanya pentest badala ya kung'ang'ania Kali linux iliyoandaliwa na haohao unawaita wanametengeneza toy hujui kitu chochote acha kujiboost kipumbavu hapa
NAKAZIAAkikujibu unitag
Hakuna kitu kitu kinaweza replace human being on any field completely hata maeneo ambayo mwanadamu hawezi ingia bado kunahitaji nguvu kazi mbadala kwa umbali flani wa mwanadamu.Hello bosses and roses,