Ushahidi: Maisha tena baada ya kifo

Mm kuna time nafanya kitu ambacho ni mara ya kwanza kukifanya maishani mfano kusafiri, au mtu ananipa story tu hata kabla hajamalizia naona hadi move yake yote yan hadi najishangaa mwenyewe. Au naweza kutulia mahali nikiwa nimeinamisha kichwa nafikiria tu mambo yangu ghafla najisahau naona kitu kingine mfano namwona mtu fulani anakuja kwenye mawazo alafu nikinyanyua kichwa tu namwona huyo mtu anakuja kweli na jinsi niluvyomwona anakuwa ivoivo.
 

jamani tubishe ama tukubali ila hili jambo lina ukweli fulan maana hii hali si kawaida japokuwa nimegundua hii hali ya kuhisi vitu kujirudia kuna muda inaapotea kabisa na haitokei kila siku. .........binafsi nasapoti kwa mikono miwili kwamba kuna something fishy kuhusu hii maada inawezekana kabisa ikawa true maana kama mpo mnaobisha then hebu nielezeeni ni nini haswa...........kuna siku nilishuhudia ajali pale manzese ila cha ajabu nilipoiona tu kabla hata sijaambiwa wameumia wangap mimi tayari nilikuwa najua wameumia wangap na nani aliekufa na cha ajabu zaidi eti nakumbuka hadi hiyo ajali iliilivyotangazwa kwenye tv mtangazaji alifanya nini kwenye hicho kipindi........kiukweli niliamua tu kuacha kufuatilia haya mambo baada ya kuona sipati majibu ama maelezo ya kueleweka kuhusu hali inayonitokea ila ni wazi hili jambo lina ukweli fulani
 
Mkuu, hiyo kitu inamaelezo ya kibaiolojia juu ya hilo. (Deja vu)
Yapo ila bado kupata Conclusion.
Hapa ni kama mtu aliyekuwa na Idea ya DNA mwaka 1784,Wengi walimuona ni chizi.
 
Mkuu naona unaleta ile movie ya Shah Rhu Khan na Salman Khan huku marehemu Amrish Kapoor akiwa jambazi (uncle) na ile tamthilia ya second chance
 
Maisha ninayoyajua baada ya kifo kulingana na imani ni siku ile tu ambapo tutapaa kwenda mbingu, kila mmoja hata ambaye hajafa bado atapewa mwili mpya na mwili huu tulionao hatutaondoka nao. Na hapo ndipo kuna maisha tena baada ya kufa. Sasa hapa naona kama movie au zile story nilizokuwa nikizisikia utotoni ukifa unazaliwa tena marekani au eneo fulani.

Ila nimewah kusikia tu mtu/watu wakisema nilichukuliwa kwa muda kwenda mbinguni nikaonyeshwa maisha mapya baada ya kifo yatakavyokuwa halafu Mungu akanirudisha tena duniani lakini sio kufa halafu akazaliwa tena.
 

umeshawahi kujiuliza kwa nini duniani watu hawapungui?
(changanya vita magonjwa n.k.)
hili ni somo pana sana linataka utulivu wa akili.
Mara zote kabla ya kuvumbua kitu,muhusika huonekana
ni chizi,muongo au amechanganyikiwa.
 
nafsi zitaonja umauti baada ya kifo utafufuliwa siku ya kiama kwa hukumu.mfano wa kufufuliwa ni usingizi na kuamka hizo bra bra ni kufuru tu
 
Hayo ni majinni maovu yanacheza na akili yako.
 
Kumbe kunawatu wanaamini majini na mapepo bado katika hii dunia
 

Ni sawa bills kwan hapo ina maanisha hilo tukio lilifanyika kabla.... Au roho iltumwa mbele kujua kilichopo?
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa bills kwan hapo ina maanisha hilo tukio lilifanyika kabla.... Au roho iltumwa mbele kujua kilichopo?

hapo ndo sijajua kwamba je nilijuaje taarifa zote hizo wakat hiyo ajali ndo kwanza nilikuwa naiona
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…