Ushahidi: Maisha tena baada ya kifo

Ushahidi: Maisha tena baada ya kifo

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Hii kitu inafichwa sana sijui kwa faida ya nani. Binadamu ameumbwa ili kuishi milele. Ukifa unazaliwa tena.

1. Kuna ushahidi India mwanafunzi aliyekufa kwa ajali ya pikipiki kazaliwa tena ana kumbukumbu ya sehemu aliyoishi.

2. Kuna mcheza sinema wa marekani pia ameshangaza ulimwengu kwa kuwa na kumbukumbu sahihi za maisha yake yaliyopita.

Ndugu msomaji hata mie kumbukumbu hizo ninazo bila shaka kabisa.

Funga kazi ni Anthony Cicoria Huyu bwana alipigwa na radi, na alipoteza uhai wake kwa muda. kwamba aliuona mwili wake ''live'' ukiwa umelala chini na yeye katika hali ya mwili mwingine usio onekana anajiona kasimama pembeni. Baada ya muda aliamua kujaribu kurudi tena katika mwili wake na akafanikiwa. Baada ya siku mbili akasikia sauti ya piano music laini ukamvutia na kuamsha kitu fulani ndani yake kilichopelekea kutafuta piano na kuanza kupiga bila hata ya kufundishwa na mtu yeyote.

Ndugu msomaji zingatia hakuna kifaa kigumu cha muziki kushinda piano. Bwana Tony haya mambo yalimsibu akiwa na umri wa miaka 42. Katika kufanya utafiti wanasayansi wanazidi kugundua vitu vya kuogofya kwamba huyu jamaa kabla ya kuja kwenye ulimwengu huu alikuwa ni mtaalam mzuri wa Piano ndio sababu kwa sasa anaweza kupiga na kuandika note vizuri kiasi kwamba anafanya maonyesho makubwa makubwa.

Cha ajabu zaidi ni uwezo wa kuandika note kila anapolala usiku huamka na kuanza kuandika note zinazomjia kichwani.

Je? wewe hii unaionaje?
 
Attachments

  • piano.jpg
    piano.jpg
    38.3 KB · Views: 3,028
achana na imani za umizimu hizo.

Mungu alisema mtakufa hakika.

Shetani akasema hamtakufa hakika

cha ajabu watu wanapenda kumwamini shetani kuliko mungu
weka ushahidi kama huo nilioweka.
 
Hii kitu inafichwa sana sijui kwa faida ya nani. Binadamu ameumbwa ili kuishi milele. Ukifa unazaliwa tena.

1. Kuna ushahidi India mwanafunzi aliyekufa kwa ajali ya pikipiki kazaliwa tena ana kumbukumbu ya sehemu aliyoishi.

2. Kuna mcheza sinema wa marekani pia ameshangaza ulimwengu kwa kuwa na kumbukumbu sahihi za maisha yake yaliyopita.

Ndugu msomaji hata mie kumbukumbu hizo ninazo bila shaka kabisa.

Funga kazi ni Anthony Cicoria Huyu bwana alipigwa na radi, na alipoteza uhai wake kwa muda. kwamba aliuona mwili wake ''live'' ukiwa umelala chini na yeye katika hali ya mwili mwingine usio onekana anajiona kasimama pembeni. Baada ya muda aliamua kujaribu kurudi tena katika mwili wake na akafanikiwa. Baada ya siku mbili akasikia sauti ya piano music laini ukamvutia na kuamsha kitu fulani ndani yake kilichopelekea kutafuta piano na kuanza kupiga bila hata ya kufundishwa na mtu yeyote.

Ndugu msomaji zingatia hakuna kifaa kigumu cha muziki kushinda piano. Bwana Tony haya mambo yalimsibu akiwa na umri wa miaka 42. Katika kufanya utafiti wanasayansi wanazidi kugundua vitu vya kuogofya kwamba huyu jamaa kabla ya kuja kwenye ulimwengu huu alikuwa ni mtaalam mzuri wa Piano ndio sababu kwa sasa anaweza kupiga na kuandika note vizuri kiasi kwamba anafanya maonyesho makubwa makubwa.

Cha ajabu zaidi ni uwezo wa kuandika note kila anapolala usiku huamka na kuanza kuandika note zinazomjia kichwani.

Je? wewe hii unaionaje?

Vijana wengi wanaishiwa mawazo kwa matumizi ya viroba,huu ni upuuz.
 
hebu tuambie wewe kabla ya uwepo wako hapa je ulikuwa wapi? ulikuwa nani? kifo chako kilikuaje ? hebu tililika hapa tukusikie
 
Mbuu, Nzi, miti, minyoo n.k vikifa vinaenda wapi?
Binadamu naye hana tofauti naviumbe vingine akifa.
You only have one life to live.
Hizi stori nyingine zote ni blah blah tuu.
 
hebu tuambie wewe kabla ya uwepo wako hapa je ulikuwa wapi? Ulikuwa nani? Kifo chako kilikuaje ? Hebu tililika hapa tukusikie
hata tony niliyeweka ushahidi katika uzi huu
hakuwa na kumbukumbu kwamba alikuwa wapi
mpaka alipopata ajali ya kupigwa na radi
ndio akazimdua ufahamu wake na kuwa gwiji wa piano.
Si kila mtu lazima apitie radi.
Tena kumbuka binadamu hutumia asilimia 1.014% ya ubongo wake wanaofika asilimia 5% hao huonekana ma genius au mitume au blah blah.
 
Back
Top Bottom