kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
- Thread starter
- #21
Ualimu ni tofauti na program nyingineSasa kama mpaka leo hii walimu hawajui kwamba huwa kuna mitihani ya usaili, unadhani hapo hatujapigwa kweli. Eti anauliza hiyo mitihani inatungwa na nani..
interview za walimu mara nyingi huwa zinabase kwenye masomo, mfano unaenda interview wanakupiga paper la form six, au form four vitu ambavyo ni ngumu kukumbuka hasa kama hujafanya kazi hii miaka kadhaa
Mtu ambaye anasoma BSc education anakuwa na sehemu tatu
1. somo la kwanza
2. somo la pili
3. masomo ya ualimu
na masomo ya kufundisha yapo;
1. ya O level
2. Advance
3. na masomo waliyosoma chuo
Hapo lazima waulize au tuulize mitihani hiyo itabase wapi?
sometimes inatokea mtu amesoma chemistry lakini ana miaka 5 hafundishi hilo somo
ukimwambia afanye mtihani wa advanve au chuo hatoboi