Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Bonge la swali hiliKuwa nayo 2018 haimaanishi siyo ya kwake kwani huenda ilirekodiwa kipindi hicho. Labda kama una utetezi mwingine maana hakuna aliyesema imerekodiwa mwaka huu swali ni kwamba huyo ni Ngwajima au siyo Ngwajima
Kuna wakristo wenzetu bado ni misukule huyo jamaa mtoa mada ni wale malofa wasiojua kitu wala Bible yenyewe hawaijuiKirahisi hivyo unataka kutuamisha kwamba yule sio baba mchungaji wako? umelishwa unga wa ndwele na baba mchungaji mkuu
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima
Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa
View attachment 1091497