Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

Naiomba iyo video ya january hapo maana umetisha mdau mwezi mzima video moja tu....
Mzee baba naomba nifowardie hiyo ya January, Hiyo ya November tiyari ninayo.
Ipo vile vile mkuu, cheki hapo inaonekana ni urefu ule uke wa dk 1:37, Mtu mweusi na nweupe, style ile ile, mikono ya mwanamke ipo vile vile..hakuna kilichobadilika
 
Nataka mjiulize swali moja, kama ni video ya Gwajima kweli, kwa nini wasinge ipost moja kwa moja ikiwa yenyewe ila wameanza na kupost video ya Gwajima akijirekodi kwanza ambayo inamuonyesha sura?

Sababu ni kuwa walitaka wawajenge watu kisaikolojia kwanza kuwa Gwajima ndiye aliyejirekodi, hivyo kutuma video ya yeye akijirekodi kwanza, kisha kutuma video ya ntu anayefanana na yeye akijirekodi akila mzigo
Swali jingine ni je kwa nini video ivujishwe sasa hivi wakati ni ya zamani sana?
Una miaka mingapi ??? Hizi watanzania mnadhanigi wachungaji malaika au??? Hiyo video sio fake 100%
 
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

View attachment 1091497
Mimi naweza kufanya ionekane hivyo kwenye simu yangu[emoji41][emoji41] nina edit details za picha au video
 
Hiyo video ingekuwa ya akajamba-nani msala ungekuwa wa kwake lakin Kwa gwajima inaonekana imetengenezwa!!!!

Kuna watu bado mnasubiri kuwaona manabii wa uwongo waliotabiriwa Kwenye Bible huku mkiwakingia kifua akina gwajima.....huyo jamaa yenu ni miongoni mwa wachungaji waongo ni tapeli tu
naweka facts straight tu, mimi sio mlokole wala sina Dini
 
img-20190507-wa0022-jpg.1091498.jpg
 
Back
Top Bottom