Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

Mkuu pole na majukumu, hii ndio tz na mtoa mada ni mtz. Usiku mwema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila ingekuwa video yangu mimi kapuku ningekosa hata editor ila kwa vile ni ya Mheshimiwa Baba Askofu basi maeditor wa kujitolea wamepatikana.
 
Wewe ni Mke wa gwajima? Hapana huenda wewe ni gwajima ni kweli
 
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

View attachment 1091497
We utakuwa ndiye Gwajima mwenyewe
 
Mkuu naona una camon 11...

Vipi haisumbui? Vipi ubora wake?
 
Sio yeye na nyote mnaoisambaza mpofuke macho kwa jina la YESU.
 
Tuma full video
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

View attachment 1091497
 
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

View attachment 1091497
Mkuu simu yako inasiri nzito. Wenzio uvumilivu umewashinda. Afu simu yako iko kingono sana..sio kwa mavitu hayo.
 
Imeandaliwa kuua soo la anguko la uchumi na Utekaji uliokithiri
BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
#BringBackMdudeAlive
 
Nataka mjiulize swali moja, kama ni video ya Gwajima kweli, kwa nini wasinge ipost moja kwa moja ikiwa yenyewe ila wameanza na kupost video ya Gwajima akijirekodi kwanza ambayo inamuonyesha sura?

Sababu ni kuwa walitaka wawajenge watu kisaikolojia kwanza kuwa Gwajima ndiye aliyejirekodi, hivyo kutuma video ya yeye akijirekodi kwanza, kisha kutuma video ya ntu anayefanana na yeye akijirekodi akila mzigo
Swali jingine ni je kwa nini video ivujishwe sasa hivi wakati ni ya zamani sana?
Hujakamatwa kuhojiwa?
 
Ila baba mchunga kondii anajua sana wallah....
 
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

View attachment 1091497
BOSSI MI NOMBA YA TREKTA LIKIVUKA MTO
 
Kwahyo unakubaliana na ile ya kwanza anayoseti kamera kuwa ni yeye?au ile pia unaikataa kuwa si yeye?kama ile inaikubali jiulize kwann alijirekodi bila shati chumban baba askofu tuanzie hapo kwanza
 
Bring back Mdude, wapi recommendations za CAG?
Vidio za Porno mwachie Gwajima na Afande Mambo sasa aliyemuita Gwajima badala ya kutumia TCRA kubaidi wanaotuma vidio za ngono kwenye mitandao. Ingekuwa Shitee ndo kasambazwa mitandaoni muda huu TCRA ingeshawakamata watu zaidi ya sitini.
 
Nataka mjiulize swali moja, kama ni video ya Gwajima kweli, kwa nini wasinge ipost moja kwa moja ikiwa yenyewe ila wameanza na kupost video ya Gwajima akijirekodi kwanza ambayo inamuonyesha sura?

Sababu ni kuwa walitaka wawajenge watu kisaikolojia kwanza kuwa Gwajima ndiye aliyejirekodi, hivyo kutuma video ya yeye akijirekodi kwanza, kisha kutuma video ya ntu anayefanana na yeye akijirekodi akila mzigo
Swali jingine ni je kwa nini video ivujishwe sasa hivi wakati ni ya zamani sana?
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

View attachment 1091497
Huo ujinga kawaambie ndg zako, mnahangaika kumsafisha lakn mtambue kwamba mwisho Wa ubaya ni aibu na utambue kwamba Mungu hajaribiwi, hizo dini zenu mmezifanya kichaka mtazidi kuumbuka mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom