Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

Sawa, Amber ni kahaba je Bishop hawezi kufanya kile kinachoonekana?
Acha ubishi mkuu.... unakaza ubongo wakati mambo yako wazi

Amba Ruth before ile clip yake kutoka watu walisha mzoea kutokana na tabia yake ya kukaa kaa kihasara hasara na pia kutoa matamshi yake ambayo yalikuwa na maaana za kihuni..., tofauti na Gwajima yeye ni mchungaji na Askofu kwahiyo utaona utofauti mkubwa sana hata kwa jinsi watu hawa jamii inavyowachukulia na ndio maana jambo lilelile lililofanywa na Amba Ruthi kwa maana ya uchafu limefanywa na Gwajima na reaction ya watu imekuwa kubwa sanaaa

Mkuu mambo mengine yako wazi na yanajifafanua yenyewe mi naona unanichosha tu hapa.
 
Kwani wewe unaamini katika nini? Ni yeye au.

Hizo hasira zako zipeleke huko kanisani humu tunataka kujua mbivu na mbichi siyo hasira za kipumbavu.
 
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

View attachment 1091497
Hongera😃🤣🤣
 
Nataka mjiulize swali moja, kama ni video ya Gwajima kweli, kwa nini wasinge ipost moja kwa moja ikiwa yenyewe ila wameanza na kupost video ya Gwajima akijirekodi kwanza ambayo inamuonyesha sura?

Sababu ni kuwa walitaka wawajenge watu kisaikolojia kwanza kuwa Gwajima ndiye aliyejirekodi, hivyo kutuma video ya yeye akijirekodi kwanza, kisha kutuma video ya ntu anayefanana na yeye akijirekodi akila mzigo
Swali jingine ni je kwa nini video ivujishwe sasa hivi wakati ni ya zamani sana?
Wajinga ndio waliwao..., amka!!!!
 
Kwani wewe unaamini katika nini? Ni yeye au.

Hizo hasira zako zipeleke huko kanisani humu tunataka kujua mbivu na mbichi siyo hasira za kipumbavu.
[emoji23][emoji23][emoji23] nani kakwambia nimekasirika, mm nasema askofu asulubiwee...
 
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

View attachment 1091497
Kwendraaaaaaaaa
 
Video inaweza kua ata ya 2008 lakin ikavuja 2018 miaka 18 tena
 
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima

Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa

View attachment 1091497
mkuu hebu nitumie pm nijionee
 
Hakuna akili kubwaa... Kwamba Video ya gwajima Nguvu gani imetumikaa??[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Kwendenii hukoo... Uzinzi ni uzinzii tyu awakamate nyie msiojielewaa... Amber ruty...mariam biriani Nyuzi kibao zilianzishwaa
Swaum yako haitaswii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipi ukiplay hio video ya 2018 anaeonekana ni gwajima au amefanana na gwajima?
 
Nataka mjiulize swali moja, kama ni video ya Gwajima kweli, kwa nini wasinge ipost moja kwa moja ikiwa yenyewe ila wameanza na kupost video ya Gwajima akijirekodi kwanza ambayo inamuonyesha sura?

Sababu ni kuwa walitaka wawajenge watu kisaikolojia kwanza kuwa Gwajima ndiye aliyejirekodi, hivyo kutuma video ya yeye akijirekodi kwanza, kisha kutuma video ya ntu anayefanana na yeye akijirekodi akila mzigo
Swali jingine ni je kwa nini video ivujishwe sasa hivi wakati ni ya zamani sana?
Gwajima yupo live.
Ameshasema sio yeye.

Kasema hajawahi kuona mwanaume ambaye anajirekodi then atume.
Ila kwa logic ndogo tu ukiachana na wasanii wanaotafuta kiki.
Gwajima anajirekodi kwenye simu ili apate nini?

Mimi mwenyewe sina jina na sijulikani ila siwezi kujirekodi kwenye simu.
 
We mpuuzi kweli kwahiyo yule kwenye video ni nani, mume wako au bahasha wako?! Acha mambo ya kifala wewe kutetea ujinga.

Unatetea mwanaume mwenzako utadhani demu bwana. Acha ujinga na utomaso. Wewe kama ndio kikosi mnatumwa kumsafisha mtu kaa ukijua akili hauna kisawa sawa.

Hivi gwajima alishawahi kukutambulisha kwa pacha wake, maana yule atakuwa pacha wake kama si yeye, na kama duniani ni wawili wawili si kwa kiwango kile!

Sikiliza nikufundishe jambo wewe taahira usiye na busara hata chembe, uovu wa mwanadamu ni sehemu ya maisha. Huyo gwajima sio mkosaji wa kwanza na hili alilofanya halitustaajabishi sababu watu wa sasa wamejiweka mbali sana na MUNGU matokeo yake ndio haya.

Kuwa mchungaji sio kigezo cha kutokuwa mtenda dhambi ingawa ndio njia ya kusaidia watu kutotenda dhambi. Kama unaona hili ni kubwa sana kustaajabu na kukubali limetokea, wenzako tumeshaona scandal za baba kulala na mtoto wake wa kike wa mbegu yake mwenyewe. Tumeona mtoto wa bamkubwa na wa baba mdogo wanatupiana. Tumeona mama mtu mzima wa miaka 40 analala na vijana chini ya miaka 22.

Tumejionea watu kulala na miili ya wafu, tumeona mwanaume mtu mzima kubaka mtoto wa kike wa miaka 10, tumeona mzee wa miaka 70 anaoa binti wa miaka 22. Tumeona mengi sana na ndio maana hatujapata wakati mgumu kukubaliana na ukweli na ushahidi uliopo katika video hii.

Kama MUNGU anakuonyesha ukweli wa mambo na unambishia basi jiulize wewe unamuabudu MUNGU au Gwajima sababu unaonekana kumuidolise kama kiumbe perfect kumshinda hata YESU ambae ndio Idol wawa kristo na waislamu.

Acha huu ufala mara moja.......utakuja kugongewa mkeo kwasababu ya kutetea mambo ya ki*enge anayofanya mtu unayemuona mtukufu kama malaika kumbe ni takataka na matakalio tu.......
 
Back
Top Bottom