Dindira
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 2,912
- 3,466
Kwani sisi tulisema hiyo picha ni ya jana au juzi? Au unataka kusema 2018 Gwajima alikua hawezi kufwanya?Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima
Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa
View attachment 1091497