Nataka mjiulize swali moja, kama ni video ya Gwajima kweli, kwa nini wasinge ipost moja kwa moja ikiwa yenyewe ila wameanza na kupost video ya Gwajima akijirekodi kwanza ambayo inamuonyesha sura?
Sababu ni kuwa walitaka wawajenge watu kisaikolojia kwanza kuwa Gwajima ndiye aliyejirekodi, hivyo kutuma video ya yeye akijirekodi kwanza, kisha kutuma video ya ntu anayefanana na yeye akijirekodi akila mzigo
Swali jingine ni je kwa nini video ivujishwe sasa hivi wakati ni ya zaman
Unatumia nguvu nyingi sana