Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Video Fake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekulipa shs ngapi kumsafisha!! Uchafu wa oil hausafishwi kwa siku moja endelea kufua mkuu.Nataka mjiulize swali moja, kama ni video ya Gwajima kweli, kwa nini wasinge ipost moja kwa moja ikiwa yenyewe ila wameanza na kupost video ya Gwajima akijirekodi kwanza ambayo inamuonyesha sura?
Sababu ni kuwa walitaka wawajenge watu kisaikolojia kwanza kuwa Gwajima ndiye aliyejirekodi, hivyo kutuma video ya yeye akijirekodi kwanza, kisha kutuma video ya ntu anayefanana na yeye akijirekodi akila mzigo
Swali jingine ni je kwa nini video ivujishwe sasa hivi wakati ni ya zamani sana?
Mzee baba naomba nifowardie hiyo ya January, Hiyo ya November tiyari ninayo.
Lengo la hii mada yako imeegemea upande upi?
Kwa maoni Yangu hata kama amedukuliwa je kitendo alichokifanya gwajima ni halali?
Faragha ni haki ya kila mtu ila swali langu bado liko palepale je kufanya ngono nje ya ndoa ni halali?Privacy.
Usiri wa jambo. (faragha)
Kama kila mtu tutakuwa tunamuanika akiwa faragha. si nzuri sana. Labda apende mwenyewe.
Faragha ni haki ya kila mtu ila swali langu bado liko palepale je kufanya ngono nje ya ndoa ni halali?
Je gwajima anafundisha kitu gani maumini wake juu hiki alichokifanya?
Vipi Kwa maaskofu wenzake wanajisikiaje baada ya haya madudu aliyofanya?
Mkuu tafadhali nimegee na mimi hilo jibu ulilopata la aliyesambaza ile videoSasa nimepata jibu sahihi nani wako nyuma ya aliyesambaza video ile ya Askofu
Hongera mkuu