Pre GE2025 Ushahidi wa Jinsi Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi alivyotapeliwa na kudanganywa huko Itilima huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
No offence hii ni perception ya jamii ya watanzania kuanzia mama yetu shuka chini hadi kwa machawa wa level za chini kbs kama hapa nilipo cholesamvula.
Andiko lako refu, ambalo baadae umelifanya kuwa kama maandiko ya Mwashamba na ho wengine limekosa hitimisho.
Kwa hiyo jaribu sasa kukamilisha huo utafiti wako na ueleze inakuwaje "Dude" hilo, ambalo ni CHADEMA; bado halitafua dafu mbele za hao mahasimu wao wakuu.

Weka ushabiki pembeni, wewe eleza tu kwa maoni yako kwa nini "dude" hili linaendelea kuminywa. Achana na hizo habari za mapolisi, kwani hakuna polisi anayemzidi polisi mkuu, ambaye ni hao watu ulio wazungumzia kwenye hilo andiko lako.
Kwa nini CHADEMA hafurukuti, na dalili tayari zimeanza kujionyesha kuwa anaanza kulazwa chali hata kabla ya kipenga.
 

Yani utalinywa tu ili uwe relevant kaka mkubwa! Ukiacha unasahaulika. Kufurukuta kwenyewe ndio huko mama mkubwa hadi machawa hawalali na ili upate mkate wako lazima ulioge tu, upate upako
 
Yani utalinywa tu ili uwe relavant kaka mkubwa! Ukiacha unasahaulika. Kufukuta kwenyewe ndio huko mama mkubwa hadi machawa hawalali na ili upate mkate wako lazima ulioge tu, upate upako
EEEeeeenHEEeeeee!
Kwa namna hii hatufiki mbali.
 
EEEeeeenHEEeeeee!
Kwa namna hii hatufiki mbali.

Kweli kabisa, yani bila kutaja chadema kwa ccm utaonekana huna akili, wote waliotaja na kusema vibaya walipata ulaji kuanzia mkumboz na wenzie, usione mwashamba kajitoa ufahamu hapa bure, wanahesabu post zake soon atapata upako utaona! Asipotaja chadema nani atasoma upuuzi wake unafikiri?
 
Liganga/dokta/dakitari/dokuta Nchimbi amatapeliwa?🤣🤣🤣🤣🙏
 
Kuwa na mtoto zwazwa kama Lucas Mwashambwa bora kumtoa ndagu upige hela tu.
Kama namuona Lucas Mwashambwa akiwa amekaa kibarazani kwao huku mikono na miguu imejikunja na domo limekaa upande muda wote likibubujisha udenda ambao umelowesha shati lake lililoshonwa kwa kitamba cha sanda.
 
Haina tofauti nyie wafuasi wa mbowe mnavyomtapeli mbowe kwenye maandamano na kura!
 
Shetani ni mwongo na ni baba wa huo.
Hivyo ndio mlivyokuwa mnadanganywa kipindi cha jiwe sijui uchumi wa kat, sijui kati juu, sijui dona kantri yani mambo vulululu.
 
Siasa za kisanii, hadaa na ahadi hewa ya vitu zitakupa watu. Lakini ujinga, utegemezi na uchawa vitadumu!
 
CCM kama waliweza kututapeli Magu ni mzima kumbe yupo mortuary watashindwa kutapeli kuhusu wanachama?
 
ila hukatai kwamba walikua chadema na sasa wameamua kurudi nyumbani. u just wante to say the leader is not have like many kuras may be
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…