Pre GE2025 Ushahidi wa Jinsi Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi alivyotapeliwa na kudanganywa huko Itilima huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ji
Jibu hoja tlatlaah!
 
Ji

Jibu hoja tlatlaah!
watu wamehama chama kwa hiyari, haki na uhuru wao hadharani, tena mchana kweupe, kila mtu anaona, halafu eti muungwana mtoa hoja analeta matokeo ya uchaguzi sijui ya miaka gani huko kukanusha ukweli huo bayana 🤣

hiyo ni useless,
acheni waTanzani huru wajiamulie mambo yao kwa uhuru wao gentleman 🐒
 
Mimi nafikiri na ninyi wote wenye fikra hizi, bila shaka mna shida ktk vichwa vyenu

Hoja zenu hizi ni sawa na kumwambia mtu kuwa unapambana kujenga nyumba bora zaidi, basi isuse hiyo duni ya sasa isiyo na ubora unayoishi kisha peleka watoto wako kwa jirani au porini mkaishi huko...

HOJA YANGU NI HII:

Mapambano ya kupigania KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI yako palepale, ni endelevu (progressive)...

Kwa ma - CCM haya, haipaswi kuwasusia kushiriki michakato ya kisiasa inayoendelea hususani chaguzi kama hizi...

Ni katika kushiriki huko ktk michakato hii, ndiyo platform muhimu ya inayoweza kutumika kusukuma na kupitisha agenda kama hizi kwa wananchi...

Zipo njia zingine pia ambazo hata sasa ziko online, zinatumika kudai CHAGUZI HURU, ZA WAZI na ZA HAKI. Mojawapo ni kupitia mfumo wa kimahakama ambako nako matatizo ni yale yale kwani mahakama haziko huru kivile kwa CCM huko nako ipo ina mahakimu na majaji wake wa kuhakikisha wanalinda maslahi yake...

Lakini Je, kwa kuwa mahakama zina dosari hii, basi tusitumie mifumo hiyo kudai haki zetu..?

Bila shaka jibu ni HAPANA, bali ktk mazingira ya udhaifu na upogo wa mifumo hii hii mibaya ya chaguzi na utoaji haki (mahakama), ni lazima kupambana...

Na tujue na kukumbuka kuwa, haya mambo bila msaada wa Mungu, hawa watesi wetu wataendelea kutamalaki tu. Tupambane huku Mungu akiwa ndiye msaada wa ushindi wetu...!!
 
Asante kwa elimu kabambe, Hawa si kwamba hawajui ila wanataka kutusumbua tu
 
Kumbe wote walikua Chadema..., mi nilijua wamewatafuta watu tu from no where. Kuna cha kujifunza kwa Chadema, mbona wanahama wengi hivyo??
 
HAHHAAAA CHADEMA MMEISHIWA MNAANZA KUKIMBIWA SASA MNAKUJA KUKANUSHA KWA NGUVU NYINGIIII KWA FAIDA YA NANI?? CHAMA HUKO KIMESHAJIFIA VIONGOZI WAMEWAKIMBIA
 
Kumbe wote walikua Chadema..., mi nilijua wamewatafuta watu tu from no where. Kuna cha kujifunza kwa Chadema, mbona wanahama wengi hivyo??
halafu mtu anakuja kukanusha eti hawajahama wa chadema hovyooo kabisa
 
Hadi wakistuka kua pasta Kinyambe wanaembatana nae ni tapeli a lower an opportunist watakua washaharibikiwa sana
 
HAHHAAAA CHADEMA MMEISHIWA MNAANZA KUKIMBIWA SASA MNAKUJA KUKANUSHA KWA NGUVU NYINGIIII KWA FAIDA YA NANI?? CHAMA HUKO KIMESHAJIFIA VIONGOZI WAMEWAKIMBIA
Hivi wewe kapuku unajua kusoma na kuandika kweli?
 
Huu ni wakati wakuwalia hela zenu

Ova
 
Huu ni wakati wakuwalia hela zenu

Ova
hakuna hela za mtu CCM, ni ruzuku ya serikali ambayo ni matokeo ya tozo, ushuru na kodi ambayo mimi na wewe tunalipa,

so,
CCM haina hela ya mtu inatumia rasilimali kulingana na jitihada yako na yangu kupitia kodi ambayo tunalipa kwa mujibu wa sheria na CCM inatumia kwa mujibu wa sheria 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…