Pre GE2025 Ushahidi wa Jinsi Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi alivyotapeliwa na kudanganywa huko Itilima huu hapa

Pre GE2025 Ushahidi wa Jinsi Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi alivyotapeliwa na kudanganywa huko Itilima huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu sasa kama CCM imeongoza miaka yote hiyo ukiwa mzima na ujapata unafuu wa maisha si bora ukae pembeni upambanie maisha nje ya vyama? Au unadhani ukienda CCM kutokea CHADEMA kuna kitu utwkibadilisha kilichomshinda mwenyekiti wao Mama Samia?
Kwahiyo kamanda wewe kubaki huku kwa Mh.Mbowe ndiyo kutabadirisha kitu?
 
Sayansi ni mtambuka... Siasa za ccm ni sayansi za giza!
basi kama za wale wengine ni sayansi za mwanga, waache basi kutoa watu kafara na kuwafanya vijanaa wao misukule kwasabb tu ya uongozi, halafu wanasingizia wengine sijui vitu gani huko 🐒
 
basi kama za wale wengine ni sayansi za mwanga, waache basi kutoa watu kafara na kuwafanya vijanaa wao misukule kwasabb tu ya uongozi, halafu wanasingizia wengine sijui vitu gani huko 🐒
Ushahidi upo wa wazi tena (kwa maneno na matendo) kutoka kwa viongozi waandamizi wa ccm ukionesha kuwa ccm inashiriki kuteka, kutesa, kudhuru, kuua na kupoteza watu.
Kama una ushahidi wa upande mwingine uweke mezani!
 
ushahidi ni pamoja na ule wa mtu wa watu, mwanachama mpole maskini ya Mungu kutolewa kafara, Lakini na vijanaa kuchukuliwa msukule HQ wanajua wako wapi na chairman aliwahi kusema anajua wako wap, umesahau gentleman?🐒
 
Sisi tunaamini taarifa za vyombo vya Habari kama zilivyotueleza, hii ya kwenu mmepika ndio maana imekosa uhalisia.
 
Back
Top Bottom