Ushahidi wa Kihistoria Ukristo ulivyotumika kudumaza Harakati za Ukombozi wa Tanzania

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mambo muhimu unayotakiwa kujua kabla ya kusoma;

🔴 Vita vya Maji Maji 1905-07, Wakristo walifurahia kushindwa kwa wangoni wa Songea kwa sababu wale walikuwa Waislamu. Ukisoma shairi hili, utaona walikuwa upande gani wakati wa vita.

🔴 Wakristo, wakati vita vya Abushiri 1888–1889 dhidi ya Mjerumani, walifurahia kunyongwa kwa Abushiri Pangani. Ukisoma shairi hili utaona sifa anazopewa Mjerumani kwa kumuua Bushiri.
————————

Shairi la Mchungaji wa Kwanza Tanzania (Tanganyika) mwenye asili ya Afrika kwa Mkoloni Mtawala wa Kijerumani Kaiser kwa ajili ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Mchungaji wa kwanza Tanzania anaitwa Jacob Ng’ombe, yeye alilelewa na kufadhiliwa kila kitu na wajerumani.

Kwenye shairi hili, unaona vile Wakristo walivyokuwa karibu sana na wanufaika wakubwa wa Ukoloni wakati wa Mjerumani. Ili uamini hilo, nitafutie resistance/mgomo wowote uliofanywa na wakristo dhidi ya ukoloni.

Jacob Ng’ombe kwenye shairi lake anahimiza wazazi na viongozi wa dini kuhimiza utii kwa wakoloni wa Kijerumani.

Shairi linasema “Lazima umwogope Kaisari, usimkosee”… na pia “Umheshimu sana na kodi umeletee”..

Mbaya zaidi, kwenye shairi hili, unagundua kwamba hata hata Vita ya Maji Maji ilikuwa vita vya kidini.

Kuna sehemu shairi linasema, “Tangu Bushiri na Majimaji akusubutuye ni nani.”? Yaani maana yake, Walutheri walifurahi wajerumani walivyomuua Abushiri na Kunyonga maelfu ya wangoni kule Songea kwenye vita ya Maji Maji 1905 - 1907.

Halafu Jacob Ngombe kwenye shairi lake kuna sehemu nyingine anasema tena, “Wakristo mwombeeni maisha [Kaisari] , aish zaidi”.. yaani maana yake, Mkoloni aendelee kutawala zaidi halafu, kwanini Wakristo tu ndio wamwombee?? Ndio utajua namna gani Wakristo walikuwa wanafaika wakubwa wa Ukoloni.

Shairi Hili lilipostiwa kwenye Gazeti la Mkoloni ‘Pwani na Bara, Vol. 02, 01, Januari 1911, p. 1’

HSus5L8WAAAyy9P.jpg
HSus5L_XkAAEEEv.jpg

Ukitaka kuona shairi hili, kasome Kitabu cha “The Media History of Tanzania” by Martin Sturmer, Uk. 39.
 
View attachment 3675023View attachment 3675025

Acha upumbavu wa kidini wewe Mwaipopoz!
 
Bora hata hao walinufaika,huko uarabuni hakuna kizazi cha weusi kama uingereza, USA Nk!, Wanaume walihasiwa.
 
We jamaa achana na mambo ya dini!Unapoteza muda WA kufurahia maisha yako ya hapa duniani!
Amesahau Mwarabu alipita kutoka Ujiji Hadi Bagamoyo na kuwafunga watu,mikono, Miguu Kwa ajili ya kuwauzia hao Wajerumani!.
NB:Amini Mungu yupo Kwa Imani Yako na utende,Yakupasayo,ili ukikutana Nae useme ulitenda Yakupasayo! Maana wote waliotuletea Hizo Dini,Njia zao za kubadilisha hataHivyo Vitabu,haviungi mkono Matendo Yao.
 
Unapotosha historia, waarabu hawakuwauzia watumwa wajerumani ila wakoloni kwa maana ya wajerumani na waingereza ndio walivyokuja kututawala wakakomesha hiyo biashara ya utumwa kwani walihitaji nguvukazi ya kuwasaidia kwenye makoloni yao.

Waarabu wenyewe waliwasafirisha watumwa wao kuwapeleka bara la Asia kuwauza na ndipo walipokuwa wakiwahasi watumwa wa kiume.
 
Waliwauzia,sipotoshi!
 
Wewe ndio hujui historia!
 
Back
Top Bottom