Weka key search words utupe uhondoHii sio kesi hata ni sinema.
Na sasa wahuni wamebuni mradi wa kukwapua pesa za walipa kodi wamekuja na mradi mwingine eti wakiamini wakifungua kesi ya kumrudisha Mange Kimambi Tanzania.
Huu mradi wa hii sinema ya Lissu natafuta uzi fulani mtu aliwahi kutoa posho wanazolipwa askari kwa siku kwa ajili ya hii sinema ni mambo ya ajabu hebu cheki msafara ule akiwa anaingia pale mahakamani, na hao mashahidi wa kubumba ni masuala ya ajabu kabisa.
5. Mashahidi wa kificho wote hawajawahi kutishiwa maisha na mtu yeyote!Kutoka X by MD
1. Mashahidi wote waliperuzi simu zao Tarehe 04 April
2. Mashahidi wote walishawishika siku hiyo hiyo.
3. Mashahidi wote walikamatwa ila hawakufunguliwa kesi
4. Mashahidi wote nini kingine tena.....Ongeza
Mola ni wa wote Athumani na NchumariKutoka X by MD
1. Mashahidi wote waliperuzi simu zao Tarehe 04 April
2. Mashahidi wote walishawishika siku hiyo hiyo.
3. Mashahidi wote walikamatwa ila hawakufunguliwa kesi
4. Mashahidi wote nini kingine tena.....Ongeza
Nimejaribu hata kufanya deep search bado naendelea maana uzi ulikua na attachment.Weka key search words utupe uhondo
Wote ni ma joblessKutoka X by MD
1. Mashahidi wote waliperuzi simu zao Tarehe 04 April
2. Mashahidi wote walishawishika siku hiyo hiyo.
3. Mashahidi wote walikamatwa ila hawakufunguliwa kesi
4. Mashahidi wote nini kingine tena.....Ongeza
😄😄😄Baada ya kuwa washtakiwa wakageuzwa kuwa mashahidi
😁😁😄🙌Kitendo cha mashahidi kupewa dhamana baada ya kukamatwa wakihamasisha kufanya uhasi kwenye vijiwe vya bodaboda.
😁Waliingia kwenye mtandao wa "yutyubu"