Pre GE2025 Ushahidi wa Vyama mamluki kuhongwa ili kuishambulia Chadema Kuwekwa hadharani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna ukweli fulani hapo ila mimi pia Chadema siwaamini nawaoma ni walewale na mfumo uleule.
Mbowe wiki iliyopita hapa kapokea milioni 150 toka kwa Samia huku amekenua meno yote.
Kisha abakuja jukwaani eti peepers!
Wote wachumia tumbo tupu.
Nimemuona Mnyika amenona shingo full, shauri ya Posho za vikao vya maridhiano mwaka mzima.
Hela za Kanisa la KKKT hazijawahi kuwa za Mbowe
 
Hata Mimi napinga, labda kama mnaandamana kupinga kupanda kwa gharama za maisha hapo naunga mkono, lakini maslahi ya chama andamaneni peke enu, au mbowe ajiuzulu uenyekiti Ili tuandamane . Maslahi ya wananchi si ya mbowe
 
..aliyelelewa na Ccm hawezi dumu ktk upinzani.

..waulize Steven Wassira, Makongoro Nyerere, Frederick Sumaye, na Edward Lowassa.

..mtu aliyezoeshwa kuishi kama raia wa daraja la kwanza hawezi kuvumilia kuwa mpinzani na kuishi kama raia daraja la kumi.
If this is the case, then ile kauli ya; "upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM" ndio imekufa natural death.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kuna ukweli fulani hapo ila mimi pia Chadema siwaamini nawaoma ni walewale na mfumo uleule.
Mbowe wiki iliyopita hapa kapokea milioni 150 toka kwa Samia huku amekenua meno yote.
Kisha abakuja jukwaani eti peepers!
Wote wachumia tumbo tupu.
Nimemuona Mnyika amenona shingo full, shauri ya Posho za vikao vya maridhiano mwaka mzima.
Kwa hiyo hutaki Mnyika anenepe?

Mbowe kupokea pesa za mchango wa kanisa unanuna kwa nini ikiwa sio zake binafsi?

Hao jamaa zenu wana suti mpya, nimeziangalia vizuri sana, hao ni mamluki hauhitajiki ushahidi wowote, hizo ni tabia za CCM zinajulikana miaka yote.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2874633

Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha Wachumia Tumbo wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa waliotangaza kupinga mpango huo kabambe wa kidemokeasia.

Zipo tetesi kwamba Mamluki hao wamehongwa, huku taarifa zingine zikisema kwamba baadhi yao walionekana jana kwenye maduka ya nguo wakinunuliwa Suti kwa ajili ya Mkutano wao na waandishi wa Habari ulioandaliwa na "Watu wa serikali"

Timu yetu ya uchunguzi itaanika ukweli wote hapa hapa, namna Mamluki hao walivyohongwa hela ndogo ili kuja kupotosha .

Usiondoke JF
CCM ni chama kizee lakini KIOGO SANA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2874633

Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha Wachumia Tumbo wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa waliotangaza kupinga mpango huo kabambe wa kidemokeasia.

Zipo tetesi kwamba Mamluki hao wamehongwa, huku taarifa zingine zikisema kwamba baadhi yao walionekana jana kwenye maduka ya nguo wakinunuliwa Suti kwa ajili ya Mkutano wao na waandishi wa Habari ulioandaliwa na "Watu wa serikali"

Timu yetu ya uchunguzi itaanika ukweli wote hapa hapa, namna Mamluki hao walivyohongwa hela ndogo ili kuja kupotosha .

Usiondoke JF
Mbinu ya maandamano haijawahi kushinda hapa nchini njooni na mbadala ya kufikisha ujumbe!!

Chadema mmeacha lengo kuu la katiba mpyakwa kudanganywa na maridhiano ya mchongo!

Sasa mmedanganywa imekua too late!

Labda lengo la maandamano lingekua kupinga uchaguzi kwa katiba ya zamani!"Bila katiba mpya hakuna uchaguzi"hata mimi mwanaccm ningeandamana na nyie!!

Lakini blah blah za miswada plus kupanda vitu bei Hilo limekuwepo tangu zamani na hamkuandamana!!

Mngeandamana Kwa "hakuna uchaguzi bila katiba mpya"hata mzee butiku na warioba wangekua frontline!!

Huo ni upupu!!
 
Maandamano wameitisha chadema ,na Wala hakuna niliposikia wanataja mtu,chama ,taasis au kiongozi yeyote kwa jina wakimlazimisha kuunga mkono maandamano yao.sasa hizi kelele zinatoka wapi?kwa kufanya hivi hatuwaumizi Wala kiwabomoa chadema bali tuna wa paisha kisiasa.mimi naona ni Bora tungewaacha wafanye maandamano yao siku ipite maisha yaeendelee.
 
..Ndio upinzani unaotokana na Ccm. Tuliambiwa utakuwa upinzani wa kweli.🤣
Upinzani kutoka Ccm uliokusudiwa katika ule utabiri wa Mwalimu sio wa hao vidagaa kutoka Ccm bali wale wenye majina makubwa kabisa na ambao wamekuwepo kwenye nyadhifa za juu kabisa !
Kwa mfano kama alivyotoka Lowassa na Sumaye
 
View attachment 2874633

Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha Wachumia Tumbo wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa waliotangaza kupinga mpango huo kabambe wa kidemokeasia.

Zipo tetesi kwamba Mamluki hao wamehongwa, huku taarifa zingine zikisema kwamba baadhi yao walionekana jana kwenye maduka ya nguo wakinunuliwa Suti kwa ajili ya Mkutano wao na waandishi wa Habari ulioandaliwa na "Watu wa serikali"

Timu yetu ya uchunguzi itaanika ukweli wote hapa hapa, namna Mamluki hao walivyohongwa hela ndogo ili kuja kupotosha .

Usiondoke JF
Siku zote mnasema Hivi Halafu baadaye inathibitika nyie ndio mnavuta mshiko
 
Upinzani kutoka Ccm uliokusudiwa katika ule utabiri wa Mwalimu sio wa hao vidagaa kutoka Ccm bali wale wenye majina makubwa kabisa na ambao wamekuwepo kwenye nyadhifa za juu kabisa !
Kwa mfano kama alivyotoka Lowassa na Sumaye

..tumeshashahudia aina zote mbili ulizozitaja.

..tumeshuhudia vigogo wakitoka Ccm kwenda upinzani.

..pia tumeshuhudia vidagaa wakitoka Ccm kwenda upinzani.

..wote wameshindwa kuvumilia misukosuko wanayopitia makada wa upinzani.

..upinzani Tz sio lelemama. Unahitaji mtu mwenye msimamo na ambaye hajaonja anasa za Ccm.
 
Back
Top Bottom