Pre GE2025 Ushahidi wa Vyama mamluki kuhongwa ili kuishambulia Chadema Kuwekwa hadharani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 2874633

Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha Wachumia Tumbo wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa waliotangaza kupinga mpango huo kabambe wa kidemokeasia.

Zipo tetesi kwamba Mamluki hao wamehongwa, huku taarifa zingine zikisema kwamba baadhi yao walionekana jana kwenye maduka ya nguo wakinunuliwa Suti kwa ajili ya Mkutano wao na waandishi wa Habari ulioandaliwa na "Watu wa serikali"

Timu yetu ya uchunguzi itaanika ukweli wote hapa hapa, namna Mamluki hao walivyohongwa hela ndogo ili kuja kupotosha .

Usiondoke JF
Mda mwalim watakufa mdomo wazi asema Bwana
 
View attachment 2874633

Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha Wachumia Tumbo wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa waliotangaza kupinga mpango huo kabambe wa kidemokrasia.

Zipo tetesi kwamba Mamluki hao wamehongwa, huku taarifa zingine zikisema kwamba baadhi yao walionekana jana kwenye maduka ya nguo wakinunuliwa Suti kwa ajili ya Mkutano wao na waandishi wa Habari ulioandaliwa na "Watu wa serikali"

Timu yetu ya uchunguzi itaanika ukweli wote hapa hapa, namna Mamluki hao walivyohongwa hela ndogo ili kuja kupotosha .

Usiondoke JF
Kibaraka asusia kiaina maandamano haramu ya mapanyarodi January 24, kutimkia ulaya baada abijan 🐒
 
View attachment 2874633

Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha Wachumia Tumbo wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa waliotangaza kupinga mpango huo kabambe wa kidemokrasia.

Zipo tetesi kwamba Mamluki hao wamehongwa, huku taarifa zingine zikisema kwamba baadhi yao walionekana jana kwenye maduka ya nguo wakinunuliwa Suti kwa ajili ya Mkutano wao na waandishi wa Habari ulioandaliwa na "Watu wa serikali"

Timu yetu ya uchunguzi itaanika ukweli wote hapa hapa, namna Mamluki hao walivyohongwa hela ndogo ili kuja kupotosha .

Usiondoke JF
Mkuu, naunga mkono harakati zoote za kudai haki duniani, including hii ya CHADEMA.

Ila napinga propaganda, na niliwahi kukuambia humu kwenye moja ya thread zako kwamba unaripoti kishabiki sana,, ki propaganda sana.

Sasa hapo uko wapi huo ushahidi kama ulivyoandika kwenye heading ya thread yako?????😳
 
Tuanike au tusubiri maandamano ya Mwanza ?
 
Mkuu, naunga mkono harakati zoote za kudai haki duniani, including hii ya CHADEMA.

Ila napinga propaganda, na niliwahi kukuambia humu kwenye moja ya thread zako kwamba unaripoti kishabiki sana,, ki propaganda sana.

Sasa hapo uko wapi huo ushahidi kama ulivyoandika kwenye heading ya thread yako?????😳
Usiondoke Jf , Maandamano yangali hewani , japo kununuliwa suti mpya tu ulikuwa ushahidi muruwa kabisa

Kingine ni hiki , ukiona mtu anaandika uongo wewe unaweka ukweli ili kumuumbua
 
Sijawahi kuondoka humu.
Na pia sijawahi kusema umeandika uongo ila ushabiki umekujaa, unaandikaga kishabiki sana mkuu.
Narudia, naunga mkono harakati against injustice duniani including hii ila siungi mkono propaganda kama unazofanya ww.
 
Propaganda ni nini ?
 
Hivi mtu kama Doyo H Doyo katibu mkuu wa Chama Cha Hamad Rashid ana nguvu gani kuisema Chadema ilhali kwao Handeni hana hata diwani hata mmoja.
 
Achaneni na hawa wapumbavu
Wala hawa jamaa siyo wapumbambu wapumbavu ni hao wanatoa pesa kugharamia issue za kijinga, kkutokana hali jinsi ilivyo ngumu hata mimi nikipata hizo fedha za burebure nachukua kisha kesho wananikuta kwenye maandamano. Hao jamaa wanaakili sana ndiyo maana wakaaamua kuwatumia. Wangekuwa wajinga wasingejisumbua kuwstafuta.
 
Back
Top Bottom