Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hapana.Ukiwaacha wajinga hawa watumie njia zilezile za ujinga watakomaa na kudumaza wengine.Hawa watu wanajulikana na wakasitiriwa kiungwana.It's high time now,waumbuliwe.Wanatumika na CCM kuuhadaa umma.Mijitu mizima halafu mihuni.Lengo ni kuwaanika hadharani
Acha kipwipwili wewe.Mwisho wa uzi umeelezwa usubiri taarifa kamili.What's that rush all for?Tungemuelewa mleta hoja kama angeweka evidence mezani mifano kama picha au screen shot ya WhattsApp ikitoa maelekezo.
Watu wa makumbusho walikuwa wengi sana maeneo haya leo hadi nikajua lqbda kuna mkubwa alilala hapoMkuu hatujawahi kuwasingizia uongo hawa mamluki , kingine ni kwamba wote uliowaona hapo wamepigiwa tu simu ya shopping na kuambiwa kuna press conference , wao wenyewe hata hawajuani
Hela za Kanisa la KKKT hazijawahi kuwa za MboweKuna ukweli fulani hapo ila mimi pia Chadema siwaamini nawaoma ni walewale na mfumo uleule.
Mbowe wiki iliyopita hapa kapokea milioni 150 toka kwa Samia huku amekenua meno yote.
Kisha abakuja jukwaani eti peepers!
Wote wachumia tumbo tupu.
Nimemuona Mnyika amenona shingo full, shauri ya Posho za vikao vya maridhiano mwaka mzima.
If this is the case, then ile kauli ya; "upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM" ndio imekufa natural death...aliyelelewa na Ccm hawezi dumu ktk upinzani.
..waulize Steven Wassira, Makongoro Nyerere, Frederick Sumaye, na Edward Lowassa.
..mtu aliyezoeshwa kuishi kama raia wa daraja la kwanza hawezi kuvumilia kuwa mpinzani na kuishi kama raia daraja la kumi.
Kwa hiyo hutaki Mnyika anenepe?Kuna ukweli fulani hapo ila mimi pia Chadema siwaamini nawaoma ni walewale na mfumo uleule.
Mbowe wiki iliyopita hapa kapokea milioni 150 toka kwa Samia huku amekenua meno yote.
Kisha abakuja jukwaani eti peepers!
Wote wachumia tumbo tupu.
Nimemuona Mnyika amenona shingo full, shauri ya Posho za vikao vya maridhiano mwaka mzima.
Waanikwe hao Matapeli.Lengo ni kuwaanika hadharani
Sioni Watu huko zaidi ya Mazezeta wezi wa Kodi zetu.If this is the case, then ile kauli ya; "upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM" ndio imekufa natural death.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
CCM ni chama kizee lakini KIOGO SANAView attachment 2874633
Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha Wachumia Tumbo wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa waliotangaza kupinga mpango huo kabambe wa kidemokeasia.
Zipo tetesi kwamba Mamluki hao wamehongwa, huku taarifa zingine zikisema kwamba baadhi yao walionekana jana kwenye maduka ya nguo wakinunuliwa Suti kwa ajili ya Mkutano wao na waandishi wa Habari ulioandaliwa na "Watu wa serikali"
Timu yetu ya uchunguzi itaanika ukweli wote hapa hapa, namna Mamluki hao walivyohongwa hela ndogo ili kuja kupotosha .
Usiondoke JF
Mbinu ya maandamano haijawahi kushinda hapa nchini njooni na mbadala ya kufikisha ujumbe!!View attachment 2874633
Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha Wachumia Tumbo wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa waliotangaza kupinga mpango huo kabambe wa kidemokeasia.
Zipo tetesi kwamba Mamluki hao wamehongwa, huku taarifa zingine zikisema kwamba baadhi yao walionekana jana kwenye maduka ya nguo wakinunuliwa Suti kwa ajili ya Mkutano wao na waandishi wa Habari ulioandaliwa na "Watu wa serikali"
Timu yetu ya uchunguzi itaanika ukweli wote hapa hapa, namna Mamluki hao walivyohongwa hela ndogo ili kuja kupotosha .
Usiondoke JF
Kumeibuka kikundi cha Wachumia Tumbo wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa waliotangaza kupinga mpango huo kabambe wa kidemokeasia.
Upinzani kutoka Ccm uliokusudiwa katika ule utabiri wa Mwalimu sio wa hao vidagaa kutoka Ccm bali wale wenye majina makubwa kabisa na ambao wamekuwepo kwenye nyadhifa za juu kabisa !..Ndio upinzani unaotokana na Ccm. Tuliambiwa utakuwa upinzani wa kweli.🤣
Siku zote mnasema Hivi Halafu baadaye inathibitika nyie ndio mnavuta mshikoView attachment 2874633
Baada ya Chama Kikuu kabisa cha siasa nchini Tanzania, CHADEMA, kutangaza tarehe ya Maandamano, huku Wananchi kwa Mamilioni wakionyesha kuunga Mkono na kutangaza kushiriki, Kumeibuka kikundi cha Wachumia Tumbo wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa waliotangaza kupinga mpango huo kabambe wa kidemokeasia.
Zipo tetesi kwamba Mamluki hao wamehongwa, huku taarifa zingine zikisema kwamba baadhi yao walionekana jana kwenye maduka ya nguo wakinunuliwa Suti kwa ajili ya Mkutano wao na waandishi wa Habari ulioandaliwa na "Watu wa serikali"
Timu yetu ya uchunguzi itaanika ukweli wote hapa hapa, namna Mamluki hao walivyohongwa hela ndogo ili kuja kupotosha .
Usiondoke JF
Upinzani kutoka Ccm uliokusudiwa katika ule utabiri wa Mwalimu sio wa hao vidagaa kutoka Ccm bali wale wenye majina makubwa kabisa na ambao wamekuwepo kwenye nyadhifa za juu kabisa !
Kwa mfano kama alivyotoka Lowassa na Sumaye
Kabisa yaani
CCM kwa sasa hamna mtu msafi tena, Mwalimu hapo alitufunga kamba.Upinzani kutoka Ccm uliokusudiwa katika ule utabiri wa Mwalimu sio wa hao vidagaa kutoka Ccm bali wale wenye majina makubwa kabisa na ambao wamekuwepo kwenye nyadhifa za juu kabisa !
Kwa mfano kama alivyotoka Lowassa na Sumaye