Pre GE2025 Ushahidi wa Vyama mamluki kuhongwa ili kuishambulia Chadema Kuwekwa hadharani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii ni kazi ya Bashite.

Awamu hii naona imehamua kuiga ya awamu iliyopita ya kishetani.
 
Tulishapumzika kusikia kichefu chefu kama hiki naona kinarudi... aisee... ushuzi kabisa . Old tactics. Ni dalili ya ujio wa watu wa kale back into the system
 
Kwahiyo ulitaka azikatae au sio.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Eti chama kikuu kabisa. Hujui Kiswahili, chadema siyo chama kikuu kabisa. Toa takwimu.
 
NYUMBU bwana!! Ngoja ninyamaze tu nisije kumkosea Mungu
 
Umeongea utoto gani hapa dogo?!
 

 
Kweli kabisa !
 
Mbona hawakwenda kuhonga Morocco
 
Voice, wewe ni jinsia gani? Kwanini unapenda kulialia na familia za watu? Wanasiasa ni Mbowe, Lissu, Lema nk. Familia zao zinahusika vipi na siasa? Ni nogwa kwa hizo familia kukaa nchi za nje au ni wivu ndio unakusumbua?
Kila chama kina mikakati yake kufikia malengo. Kwa nini hivyo vyama vingine unavyovisema visubiri Chadema ili vifanye mikutano, unataka kusema bila Chadema wao hawawezi kufanya siasa. Arguments za kitoto kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…