Ushahidi wathibitisha Serikali ya Iran kuipatia Hamas shs 500,000,000,000 ili kufadhili shughuli zake za kigaidi

Ushahidi wathibitisha Serikali ya Iran kuipatia Hamas shs 500,000,000,000 ili kufadhili shughuli zake za kigaidi

Naomba usiwe mvivu wa kupata taarifa.
Umoja wa Mataifa hauitambui Hamas kama kikundi Cha kigaidi.
Unaitambua Hamas kama chama Cha kupigania uhuru wa Palestine.
Hamas iliwekwa kundi moja na
ANC,SWAPO,chama Cha kupigania haki Cha Sudan kusin enzi za John Garang n.k
Hivyo vyama vilikua vinasaidiwa fedha na nchi rafiki.

Vikindi vya kigaidi ni kama Al Qaida, ISIS,Al Shabab n.k
Nchi za Ulaya na Marekani na kanada na Australia na New Zealand zinaitambua Hamas kama kundi la kigaidi
 
Nchi za Ulaya na Marekani na kanada na Australia na New Zealand zinaitambua Hamas kama kundi la kigaidi
Ni wao kwa matakwa yao.
Hata Cuba ilitambulika kama nchi ovu na kuekewa vikwazo kisa alitofautiana kimtazamo wa maslahi na Imperialists.
Wazungu ukitofautiana nao na maslahi yao ni rahisi kukuita gaidi.
 
Back
Top Bottom