Ushahidi, Wazungu wana Akili kuliko sisi

Ushahidi, Wazungu wana Akili kuliko sisi

Angekuwa Mzungu ndiyo anajibu huyo ujumbe basi angeandika kwa kiswahili au hata angetafuta Mkalimani lakini kamwe asingeweza kuchanganya lugha kama ulivyofanya, Ushahidi mwingine wa kuwa na akili ndogo!

Kuchanganya lugha ni kipimo cha IQ ya mtu???? Inabidi nikubaliane na wewe kwa kuwa ndio mtazamo wako na uelewa wako unapoishia. Ungejikita kwenye content ungenufaika zaidi
 
Sasa ni kwanini wazungu wanaojua Kiswahili kama Mapadri huwa hawachanganyi Lugha yaani Kiswahili na Kiingereza? Lakini Padri wa Kiafrika Mweusi atachanganya Lugha Kiswahili na Kiingereza?

Nani kakuambia mapdri wazungu wanajua kiingereza??
 
Nani kakuambia mapdri wazungu wanajua kiingereza??

Ndio Mapadri Wazungu (>95% zaidi ya asilimia 95) wanajua Kiingereza kuliko Kiswahili, kwa maana hujifunza kwanza Kiingereza na baadaye ndio Kiswahili na isitoshe Mapadri ninaowaongelea ni wa kutoka Uingereza na ni marafiki zangu na siku zote huwa tunaongea kwa Kiswahili kitupu na hata siku moja hawachanganyi Lugha, hata Misa zao ni za Kiswahili kitupu lkn pia kuna Misa moja tu ya Kiingereza na hapo huongea Kiingereza kitupu!

Lakini katika maongezi yetu akiongezeka Mtz mmoja mweusi kama mimi awe ni padri au siyo Padri basi lazima atachanganya lugha ya Kiswahili na Kiingereza hata wale mapadri Waingereza huwa wanashangaa sana wanasema inakuwaje? Ina maana hawa (waafrika weusi kaama mimi) wanajua Kiingereza kuliko Kiswahili?
Lakini maajabu ni kwamba wale Wazungu wakiamua sasa kuongea Kiingereza kitupu jamaa Waafrika weusi kama mimi wanakwama pia sasa hali kama hii hamna namna ya kuilezea isipokuwa tu uwezo wa akili na kufikiri ni mdogo!
 
Kuchanganya lugha ni kipimo cha IQ ya mtu???? Inabidi nikubaliane na wewe kwa kuwa ndio mtazamo wako na uelewa wako unapoishia. Ungejikita kwenye content ungenufaika zaidi

Na hiki ndicho nilichomaanisha ukinisoma vizuri kwenye Mada yangu wala hautaona ya kwamba swala la kuchanganya lugha ndio Mada KUU, tunarudi palepale kwenye uwezo wa kusoma na kuelewa kilichoandikwa!

Hakuna mahali niliposema kuhusu kuchanganya Lugha kwenye mada yangu kuu lakini wachangiaji wameigeuza kama hiyo ndiyo MADA KUU, bali mada kuu inasema swala la Wazungu kutumia Kiswahili na sisi Waafrika weusi wenye Lugha kutumia Kiingereza na nikatoa uthibitisho na hali kama hii hakuna sehemu nyingine utakayokumbana nayo isipokuwa huku kwetu tu!
 
Anaebisha wazungu wana akili kuliko sisi, ojaribu kwenda kufanya kazi kwenye International Organization kama Hellen Keller, CARE, au Oxfam.
Hawa jamaa ni vichwa ndiyo maana MTZ akimaliza degree ya kwanza udsm, anaenda Masters nnje ili awe nondo.
 
Haya ni maonyesho yaliyoandaliwa na Wazungu (Umoja Wa Mataifa) kuhusu kile kilichotokea huko Ulaya wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia! Maonyesho hayo yalihusu hasa mauaji ya Wayahudi huko Ulaya!

Kilichonigusa hasa na kunifanya mpaka niandike hapa ni jinsi Wazungu walivyofanya haya maandalizi, kwanza aina ya wanafunzi waliokuja ni wa kutoka Shule za kawaida kabisa za Serikali za kata yaani Mtz wa kikawaida, lkn kama hii shughuli ingeandaliwa na Serikali yetu (sisi Watz weusi) basi Wanafunzi ambao wangepata fursa hii wangetoka Shule za binafsi kama Al Muntazir, International school, St Marys n.k yaani shule za Watoto wa kidosi!

Pili kilichonivutia zaidi kuhusu haya maandalizi yaliyofanywa ni Wazungu ni Lugha iliyotumika, Wazungu wameamua kutumia Lugha ya Kiswahili lkn kama hii ingefanywa na Mtz Mdiaspora kama John Mashaka basi lazima wangeandika kwa Kiingereza ingawaje mlengwa ni Mtz wa kawaida!

Hii imenifundisha moja ya kwamba Wazungu ni kweli kabisa wana akili sana kuliko sisi!

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php


I don't get your point at all!
 
I don't get your point at all!

Basi wewe SIYO mlengwa wa hii mada ndiyo maana hauwezi kuelewa tafuta nyingine ambayo wewe ni mlengwa huko labda utaelewa, kumbuka JF imejaa mada za aina mbalimbali na siyo lazima uelewe na kuchangia zote!
 
Ni rahisi kwa wao sababu wanajifunza kiswahili ukubwani, waafika (Tz) tunatoka na huo mfumo toka udogoni!!
Pia binafsi sioni tatizo la kuchanganya lugha wakati wa kuongea.
Pia lugha yetu bado haijitoshelezi baadhi ya maneno, hivyo tunaazima maneno mengi kuongeza msisitizo!

Nani kasema lugha ya kiswahili haijitoshelezi maneno!!! Lugha hiyo adhimu ina msamiati wa kutosha. Tatizo ni uvivu wetu wa kutojisomea na kurudufu kamusi za kiswahili kwa kujishebedua kuwa kwa vile ni Mtanzania basi tumebobea katika lugha ya kiswahili. Kiswahili km lugha nyingine inakua kwa hiyo ina misamiati inayozaliwa na kufa kila uchao kulingana na mahitaji yake!
 
Hata mimi nilikuwa naamini hivyo siku zote lakini pia kuna UKWELI ambao sasa nashindwa kuulezea kwa mfano hili la Lugha, ni kwa nini Mtz anayetaka kufikisha Ujumbe kwa Watz wenzake anatumia lugha ya Kiingereza wakati Mzungu, Mchina, Muhindi wakitaka kufikisha Ujumbe kwa Watz hutumia Lugha ya Kiswahili?

Kwa hali ya kawaida ungetegemea ya kwamba huyu Mtz aweze kutumia Kiswahili zaidi kwa maana anaelewa ya kwamba watu wake wengi wanaelewa Kiswahili zaidi kuliko Kiingereza sasa hiyo tofauti ndiyo nashindwa kuilezea kwa ni sijawahi kuona Mzungu, Mchina Muirani, Mwarabu akifanya hivi isipokuwa sisi tu, tena Waafrika weusi hata Waafrika wenzetu wa Kaskazini hawafanyi hivi, sasa ni kwa nini?

Ni mazingira tu Je ni kwanini sisi hapa kwenye mtandao tunafikiria tofauti na viongozi wetu ni mazingira sio rangi wala nini. Hapa Marekani unajua kwamba Native African ni most educated group na wenye degree ni zaidi ya 60% kuzidi hata Asian! hivyo ni mazingira. Wengi wetu tumekuja nchi za watu bila kitu sasa kama tungekuwa wajinga mbona tunaajiri wazungu sasa wakati tumekuja na mabegi tu kwenye nchi yao!!
 
Ni mazingira tu Je ni kwanini sisi hapa kwenye mtandao tunafikiria tofauti na viongozi wetu ni mazingira sio rangi wala nini. Hapa Marekani unajua kwamba Native African ni most educated group na wenye degree ni zaidi ya 60% kuzidi hata Asian! hivyo ni mazingira. Wengi wetu tumekuja nchi za watu bila kitu sasa kama tungekuwa wajinga mbona tunaajiri wazungu sasa wakati tumekuja na mabegi tu kwenye nchi yao!!

Sisi akili hatuna msimbishie huyo jamaa, mpaka sasa hakuna hata mmoja aliyeweza kujibu swali lake. Lugha ya kiswahili inajitosheleza kabisa, lakini viongozi wetu utakuta wanang'ang'ana kutoa hotuba za kiingereza pasi na ulazima wowote,hata kama kuna mzungu kasaidia ujenzi wa bweni,darasa au barabara sio sababu ya kudharau lugha yako na kuhutubia kwa kiingereza, kwa hiyo mimi mtazamo wangu ni kuwa "sisi masikini tukipata matako ulia mbwata" nani hajui adithi za waliosoma nje wakirejea na kujifanya wazungu? nani asiyejua sasa hivi watz wanakumbatiana na kupigana busu tena za kugusanisha midomo? NI KWELI HATUNA AKILI anayebisha ni kwa sababu hiyo hiyo ya kutokuwa na akili.
 
mkuu umewataja sana Mapadre, wewe ni shemasi au unasomea usista?
 
Kama haya ndio mawazo yako ya kila siku..nakushauri uwahi milembe mapema kwa hiyari yako ili uwahi matibabu pengine unaweza ukapona.... kabla hujafikia hatua ya kufungwa kamba maana dalili zote za uchizi unazo....
 
Habar wanajf ,
ni Mara nyingi huwa najiuliza ni Kwann wazungu wana maendeleo sn kuliko waafrika tena karibu katika kila nyanja...

KIELIMU=ukitazama wao wamekua wabunifu wa elimu ambayo imeweza kusaidia binaadamu kuyakabili mazngira yanayomzunguka tazama ubunifu wa gari,meli,ndege,baisikeli,train,radio nk.. lakini waafrika hatukubuni chochote...

MICHEZO=ukitazama karibu michezo yote na burudani wamebuni wao na hata kama hawajabuni utakuta wao ndio wanacontrol kila kitu katika michezo hiyo kama footbal,basketball,rugby,boxing nk... Waafrika hatukubuni mchezo wowote ....

USALAMA WA DUNIA=hapa ukitazama vzur utagundua karibu kila vurugu au usuruhishi wa masuala ya amani duniani wanahusika wao direct au indirect ....waafrika bado hatujielewi

**Na Mengine mengi tu nitayataja baadae....

Nashindwa kuelewa tatizo ni nn au ndio kweli sie watu weusi hatuna akiri au shida ni nn nakaribisha mjadara wadau tujuzane .....
 
Back
Top Bottom