CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 982
- 3,137
Hii Game hua niliipenda Sanaa, sio unakua na kajitu kanyonge, masaa hayapiti kanalia.
Mda mwingine inabidi uwe na mtu anayekutingisha kidogo, hata thamani yake utaiona.
Mimi nilikuaga na Mchezo, demu tukipishana kidogo tuu na mute, yaani piga ua simtafuti mpaka awe mpole mwenyewe, hili lilinilea vibaya mno, daadeki nikakutana na Mwingine, yaani Niki mute na yeye ana mute,
Sasa huyu aliyenitingisha ndio nikamkubali, Mwaka ni mwaka hanitafti simtafuti, kinacho turudishaga ni mazingira ya kazi tunapokutanaga Katikati/Mwanzo au Mwisho wa Mwaka ofisi zote.
Wengine ndio hua imetoka hio, labda mkutane physical au kwenye social media tuu kusalimiana.
NOTE: Hii Nilifanyaga kwa Pisi niliyoilewa, kama ni hawa wa kupita tuu, hua hata Sikua nawaza, Namtafuta mwenyewe hata kama kafura, ili nimvimbishe, aji brand.
Too much excuses zinaboa kwenye mapenzi, mda mwingine inabidi makaziane, Ili kila mtu amvalue mwenzake...
Pia kuna raha, hata kama mmeachana na mtu una ka ahueni kama hukuachwa kinyonge, heshima ipo.
Sio kubembeleza ubembeleze wewe, kuachwa uachwe wewe.
SIJAWAHI KUACHANA NA DEMU KWA MANENO/LUGHA KALI.