Ushakuwa na mpenzi mbabe ambaye ukimtest kukaa kimya na yeye anabaki kimya?

Nasikia mwanamke akichoka ni huwa anachoka kwelikweli, au hisia zao zikifa ni zinakufa kiukweliukweli.

Huyo alikuaa mwanamke wa commitment hapo ulipoteza mwanamke aisee.

Ni akili tu hiyo huitwa self-pity inaweza kumpata hata mwanaume.

Mtu akipitia changamoto hiyo changamoto inaweza mpatia mambo matatu.

Resilience
Victims
Survivor.

Sasa watu ambao huchoka na Ku give up huwa wanakuwa victimized na hii ni akili na emotion yaweza mpata hata mwaunaume
 
Na nilishamove on, ila Kila akinipigia Hio mara moja kwa mwaka napata ukakasi sana sijui kwanini
MTU unayemjua sura yake sauti yake majina yake.

Unaweza kuwasiliana muda wowote pasipo kukutana physically

Kinachokutokea wewe ni sahihi kupata Goosebumps (msisimko) hii pia inamtokea hata yeye.

Ila Kama nilivyosema hapo x wako amepata self-pity ambayo imempa Victim na kuwa victimized she is Afraid to be in touch with you anymore. Maana anajihurumia

Fed up (kuchoka) husababishwa na kupata self pity and unfortunately ungemuoa na mkaachana ingekuwa mbaya Sana.

So watu wanaojuana kisura , sauti majina huwa wapo closed Sana umbali huwa haupo ,

Ndo maana ni rahisi Sana kuongea na x wako bila hata kumpigia simu na yeye akiwa mbali
 
Nimejitahidi kukuelewa mpaka mishipa ya kichwa inauma...

Mwanamke sijui ana roho Gani aisee, inabidi Hawa viumbe wachunguzwe upya, nilikua na wangu, tokea enzi za shule, nikaja kutoa bikra mwenyewe!! Sijawahi ona mtu ananipenda kama huyu, ishi nae sana, kanifumania sana lakini bado akawa loyal na humble kwangu, siku narudi nakuta kaondoka kaniambia tu it's enough

Nikacheka sana nikasema huyu atarudi tu hapa ndo kafika, sikua hata na wasiwasi, kumbe ndo mazima aisee, ishapita miaka kadhaa ashaolewa huko na hua ananipigia siku ya birthday yangu tunaongea mawili matatu basi, siku zingine nikipiga hatapokea na sms hatojibu, ushakua utaratibu Kila mwaka tunaongea mara moja tu na si vinginevyo

Nilishatest mitambo akaniambia chupi hawezi nivulia tena mpaka tuzikwe. Ananiambia Mimi ni mwanamke wa mwanaume mmoja, kipindi nipo na wewe sikuwahi kukusaliti na huyu siwezi msaliti

Nilicheza blunder nikapoteza mtu makini sana na haangalii nyuma
Wanawake wa hivyo huwa wanatokea mara chache sana na ukiwapoteza kuwapata ni ndoto ya mchana. Mwanamke alievumilia makwazo akiamua kubadilika itachukua muda sana kuja kujirudi na akijirudi hawezi kuwa yule wa mwanzo tena.
 
Mwanamke sijui ana roho Gani aisee, inabidi Hawa viumbe wachunguzwe upya, nilikua na wangu, tokea enzi za shule, nikaja kutoa bikra mwenyewe!! Sijawahi ona mtu ananipenda kama huyu, ishi nae sana, kanifumania sana lakini bado akawa loyal na humble kwangu, siku narudi nakuta kaondoka kaniambia tu it's enough

Nikacheka sana nikasema huyu atarudi tu hapa ndo kafika, sikua hata na wasiwasi, kumbe ndo mazima aisee, ishapita miaka kadhaa ashaolewa huko na hua ananipigia siku ya birthday yangu tunaongea mawili matatu basi, siku zingine nikipiga hatapokea na sms hatojibu, ushakua utaratibu Kila mwaka tunaongea mara moja tu na si vinginevyo

Nilishatest mitambo akaniambia chupi hawezi nivulia tena mpaka tuzikwe. Ananiambia Mimi ni mwanamke wa mwanaume mmoja, kipindi nipo na wewe sikuwahi kukusaliti na huyu siwezi msaliti

Nilicheza blunder nikapoteza mtu makini sana na haangalii nyuma
Daah! Mzee, ulicheza big fault...
 
Back
Top Bottom