Ushakuwa na mpenzi mbabe ambaye ukimtest kukaa kimya na yeye anabaki kimya?

Nasikia mwanamke akichoka ni huwa anachoka kwelikweli, au hisia zao zikifa ni zinakufa kiukweliukweli.

Huyo alikuaa mwanamke wa commitment hapo ulipoteza mwanamke aisee.

Ni akili tu hiyo huitwa self-pity inaweza kumpata hata mwanaume.

Mtu akipitia changamoto hiyo changamoto inaweza mpatia mambo matatu.

Resilience
Victims
Survivor.

Sasa watu ambao huchoka na Ku give up huwa wanakuwa victimized na hii ni akili na emotion yaweza mpata hata mwaunaume
 
Na nilishamove on, ila Kila akinipigia Hio mara moja kwa mwaka napata ukakasi sana sijui kwanini
MTU unayemjua sura yake sauti yake majina yake.

Unaweza kuwasiliana muda wowote pasipo kukutana physically

Kinachokutokea wewe ni sahihi kupata Goosebumps (msisimko) hii pia inamtokea hata yeye.

Ila Kama nilivyosema hapo x wako amepata self-pity ambayo imempa Victim na kuwa victimized she is Afraid to be in touch with you anymore. Maana anajihurumia

Fed up (kuchoka) husababishwa na kupata self pity and unfortunately ungemuoa na mkaachana ingekuwa mbaya Sana.

So watu wanaojuana kisura , sauti majina huwa wapo closed Sana umbali huwa haupo ,

Ndo maana ni rahisi Sana kuongea na x wako bila hata kumpigia simu na yeye akiwa mbali
 
Nimejitahidi kukuelewa mpaka mishipa ya kichwa inauma...
 
Wanawake wa hivyo huwa wanatokea mara chache sana na ukiwapoteza kuwapata ni ndoto ya mchana. Mwanamke alievumilia makwazo akiamua kubadilika itachukua muda sana kuja kujirudi na akijirudi hawezi kuwa yule wa mwanzo tena.
 
Daah! Mzee, ulicheza big fault...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…