Ushamba na Ulimbukeni wa watanzania kuhusu Zari na Hamisa Mobetto

Hapa ndo umenifanya niamini watanzania ni wapuuzi yani hili ndo la kukuumiza hadi kulifungulia uzi
 

unamchukiaje mtu ambae humjuii wala hujui anaishi vipi

kiukwel cwezag kushuhulika na hyo maswalaaa
 
usengee tu yaan mara zalii mara mobetooo ndo akina nan atiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hivi Leo kuna debate nini maana naona opposer's na proposer mnavyobishana,sasa nisubirieni secretary wenu nitoe majibu upande UPI umeshinda OK.
 
Inasikitisha sana...

Mambo yao waachie wenyewe... unatumia nguvu nyingi kupambana na watu, kumbe wenyewe wapo kibiashara...


Cc: mahondaw
 
Ukitaka kujuwa ulimbukeni wa watanzania ona wanavyoshadadia bongo fleva. Watu wanapiga miziki ya watu wanaonekana masupastaa wakati wanakopi tu.
 
Na ukiona demu 'anatimu' sjui Zari au Mobeto au team Wema bas ujue huyo dem bado anasafari ndefu sana
 
blindspot naomba nikuulize, upewe choice kati ya Zari a businesswoman na Hamisa asiyejitambua bado, utachagua nani kati yao? 99% ya wanaume wanaojitambua LAZIMA wataoa mwanamke anayejitambua na mwenye uwezo na si kiruka njia au mdandia lift.
 
Lkn ukiangalia asilimia kubwa ya wanaoshabikia ujinga huo ni vijana Wa DSM ambao kila uchwao wanagombaniana remote za TV na Dada zao wakitoka hapo hugombaniana dressing table na Dada zao.. Yaan hovyo kabisa.
Huwezi kukuta kujana Wa korimije, au ileje anazungumzia mambo ya zari kwanza hawajui ni nn zari wala mobeto
 
Hili jambo umelifanya kuwa la kitaifa wakati wanashabikia ukute hawafiki hata buku.
 
blindspot naomba nikuulize, upewe choice kati ya Zari a businesswoman na Hamisa asiyejitambua bado, utachagua nani kati yao? 99% ya wanaume wanaojitambua LAZIMA wataoa mwanamke anayejitambua na mwenye uwezo na si kiruka njia au mdandia lift.
nani kakwambia Hamisa ajitambui. Hamisa ana miaka 26 unamfananisha na mtu ana miaka 38 ..hata hamisa akifika hizo miaka anaweza kua na maendeleo..Zari siyo self made..unachokiona ni mali za mumewe tu. Hamisa ana biashara zake bado ni movie actor soon Mungu na yeye atamjalia. Binafsi ntamchagua Hamisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…