Mr FCB
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 227
- 119
Harmonize ni mmakonde anajiita Konde Boy, kwahiyo huyu Bashite ni msukuma, je tumwite nani?[/QU
Shiteboy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harmonize ni mmakonde anajiita Konde Boy, kwahiyo huyu Bashite ni msukuma, je tumwite nani?[/QU
Shiteboy.
Hamisa ni nani?
Zari ni nani!
Ehhh watanzania imetoka wapi jamani duh!
HahahahaAnhusika na timu ya kulilia wanaume wa watu na kudanga
Huyo utafikiri mikono yake imefungwa kutfuta pesa zake.
Watanzania wengi washamba sana.. Baba Nyerere angefufuka leo nadhani angewatia mboko asilimia 80 ya watanzania wote kwa akili zenu zilizojaa upupu. Mzee nyerere hakuacha taifa la majitu majinga hivi. Leo watanzania wamekuwa watu wa kumthamini mgeni kuliko mtanzania mwenzao. Au hutotuvingereza mkimsikia huyo zari basi mnashoboka ebu usee nyinyi. Unamtukana bint wa watu kosa lake nini. Diamond yupo na zari amekwenda kutembea na huyo Hamisa, Kosa la Hamisa ni nini.. Kutembea na Diamond au. Acheni ulimbukeni nyinyi,. Eti timu Zari..hamna za kufanya nyinyi.
Huyu binti Hamisa bado mdogo sana hana hata 25..Kila siku mnamtukana kisa huyo bibi wa Kiganda. Eti timu Zari badala muwe timu kilimo au timu biashara..mnakaa siku nzima mnashinda kwenye mitandao badala ya kufanya Kazi. Taifa la watu wambeya na usengenyaji. Mnatukana binti wa watu eti kaingilia mapenzi. Diamond i support mziki wako..lakini drama zako unafanya huyu Binti anatukanwa sana, Kumbuka unamtoto naye..sidhan km mtoto atafurahi akikuwa Mkubwa aone jinsi Mama yake alivyokuwa anatukanwa kisa wewe. Sikuchagulii mtu wa kumuoa but udhalilishaji huu kwa Hamisa uliusababisha interview yako ya Clouds fm.
Eti Hamisa malaya..nani siyo malaya Tanzania..huyo Zari kwani siyo malaya..si mdangaji tu.. ..Eti Zari ana pesa sana Tununu hana pesa..Pesa za Zari zinakuhusu..Acheni usee nyinyi. Na hii Tabia kubwa ya Midada ya kitanzania hata ikiwa nje ya Nchi kushoboka na wageni..ushamba mzigo sana.
Watanzania nawasihi sana acheni kushoboka na wageni, wapambane mastar wenu, Zari hana mashabiki sehemu yeyote zaidi ya Tz. Kabinti kadogo mnakachukia kwa ulimbukeni tu. Mishamba
Hapa ndo umenifanya niamini watanzania ni wapuuzi yani hili ndo la kukuumiza hadi kulifungulia uzi
How do you defend your pussy & not defend your character?Pussy so good katika ubora wako Hongera Sana. Tumekuelewa
wanaume tumemuelewa sana iyo sentensi yakePussy so good katika ubora wako Hongera Sana. Tumekuelewa
Vagina boyHarmonize ni mmakonde anajiita Konde Boy, kwahiyo huyu Bashite ni msukuma, je tumwite nani?
SUKUMABOYHarmonize ni mmakonde anajiita Konde Boy, kwahiyo huyu Bashite ni msukuma, je tumwite nani?
Kum,a boyHarmonize ni mmakonde anajiita Konde Boy, kwahiyo huyu Bashite ni msukuma, je tumwite nani?
nani kakwambia Hamisa ajitambui. Hamisa ana miaka 26 unamfananisha na mtu ana miaka 38 ..hata hamisa akifika hizo miaka anaweza kua na maendeleo..Zari siyo self made..unachokiona ni mali za mumewe tu. Hamisa ana biashara zake bado ni movie actor soon Mungu na yeye atamjalia. Binafsi ntamchagua Hamisa..blindspot naomba nikuulize, upewe choice kati ya Zari a businesswoman na Hamisa asiyejitambua bado, utachagua nani kati yao? 99% ya wanaume wanaojitambua LAZIMA wataoa mwanamke anayejitambua na mwenye uwezo na si kiruka njia au mdandia lift.