Ushamba na Ulimbukeni wa watanzania kuhusu Zari na Hamisa Mobetto


We mzima kweli. Hamisa kasomea nini. Mfano gani anaweza kumpa Binti Wa Leo. UMBEYA hautawaacha Wtz salama. Mtu anadanga wewe unamletea uzi hapa. Eti Movie actor. Simshabikii hata huyo Zari.
 
Ha haaaa haaaa hili povu noma sana!

Ungejifungia ndani ilieeeee upunguze hasira au kunywa maji!
 
Hamisa ana miaka 26? Mbona post yako inasema hajafika hata miaka 25..
 
mtoa post wee sio kabisa. hamisa anaishi kwa kumtegemea D, zari ni tajiri toka hajaktana na D. hategemei kabisa push kutoka kwa D, zari ni mke halali wa D ila hamisa ni kibaka flani tu alidandia kwenye tuta, zari akaona aache kujisumbua na mapenzi ya kiswahili aachane nayo, D akapima na kupimua akaangalia ni wapi anapendwa na anapewa mapenzi ya kweli akalazia mzani huko. zari is a wife material woman sema anakutana na wanaume ambao sio wastarabu anzia yule wa kwanza na huyu dogo janja. tatizo la baba T anasakwa sana na vidosho kila upande hivyo kuepuka hiki kishawishi kwa mwanaume yeyote ni vigumu kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, hata kama ningekuwa mm ningewacharaza mpaka waombe po. maana wanakuja tu hawaangalii
 


Achana na habari za kukariri. Vijana wa Dar wanajua kupiga mishe kuliko hao mambuyagi wa Kolomije. Kama wewe sio wa kutoka hapa town huwezi kulitambua hili kwa hiyo kaa huko huko kwenu
 


Yes naelewa Hamisa ana genge kule Mbagala na anauza mkaa pembeni ya nyumba ya Mama yake. Hamisa hajitambui na ndiyo maana mchafu mpaka Mama Diamond hamtaki, wewe demu mwenye miaka 26 anashindwa kujisafisha sehemu za siri na kupiga mswaki? Licha ya hayo, Hamisa bado anajikojolea kitandani mpaka leo hii na ndiyo maana Majizo alimuacha.
 
Unaweza kuta muanzisha uzi huu ni kijana wa kiume, ntasikitika sana
 
Kama wewe sio ‘Hamisa’ mwenyewe, basi utakuwa una ukaribu mno na huyo Hamisa. Umeandika kwa hisia mno asee.
Lakini kwa nini utake kuwapangia Watanzania upande wa kushabikia?! Labda hawavutiwi na huyo ‘Hamisa’ wako?! na kwanini ulazimishe kupendwa na Watanzania wote? wakati anachezeshewa ‘Mkuyenge’ huko mbona huhitaji msaada wa Watanzania?
We Pambana na Hali yako tu,Mwana kulitaka,Mwana Kulipewa.
 


Wewe ni part of the problem...umeishia kumsifia huyo mobeto...kumbe wewe nae ni team what the fvk!
 
Achana na habari za kukariri. Vijana wa Dar wanajua kupiga mishe kuliko hao mambuyagi wa Kolomije. Kama wewe sio wa kutoka hapa town huwezi kulitambua hili kwa hiyo kaa huko huko kwenu
Tulia ww hivi utajiita unaakili kweli .wanaume mzima unaanza kumchambua mwanamke tena binti mdogo mbaya zaidi huyo mwanamke hakuhusu hivi kama wewe sio mshinda kwenye dressing table na Dada zenu?? Badliken bana mambo ya kike achaneni nayo
 
Wabongo tunashoboka na watu nje mno mondi angezaa na mdada wa nje ya Tanzania isingekua ishu
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji6][emoji16][emoji16]yaani wewe unaonekana kabisaa hujielewi kaah!
 
Tulia ww hivi utajiita unaakili kweli .wanaume mzima unaanza kumchambua mwanamke tena binti mdogo mbaya zaidi huyo mwanamke hakuhusu hivi kama wewe sio mshinda kwenye dressing table na Dada zenu?? Badliken bana mambo ya kike achaneni nayo


Ndio maana nasema umekariri. Way back wakati niko teen navuka mipaka ya nchi kwenda ughaibuni kutafuta maisha, na huko nakutana na vijana wote under 25 wametokea Dar, labda wengine wachache wametokea Tanga. Ndio ujue vijana wa Dar sio watu wa kuuweka. Nimekupa mfano tu, Dar es salaam haipo Instagram mkuu, ni real life ambayo watu kama wewe mkulima wa viazi lazima uone maruweruwe.
 
Kwenda nje ya nchi sio shida unaweza kwenda nje ya nchi kwa kutaniwa kila kitu na ukfika huko bado ukawa muosha vyupi vya wazee..
Endeleen kushabikia mambo ya kike..

Huko nje hata jamaa zangu wako huko wanaogopa kurudi Tz wanaona aibu waliotuacha kipind hicho mitaan lakn sasa hivi tunauwezo Wa kuwaajili..
Mtu mwenye kazi maalumu hawezi kushupalia mambo ya kina hamisa sijui zari hayo mambo tumewaachia Dada zetu ila kwakuwa nyinyi ni sample yao basi hakuna namna
 
mm siwezi mfananisha hamisa na zari, ndo maana zari alidharau akajiondokea zake south, zari pamoja na umri mkubwa kwa hamisa still zari ni mzuri ja mschana kuliko hamisa. yule mwanamke hazeeki sababu yupo bize kumantain mwonekano wake. pia sio used kama watoto wa kibongo kutwa kucha kumlazimisha mapenzi baba T. zari alifuatwa na baba T, still kamshit baba T na baba T kaenda kumbembeleza zari, Ila hamisa pamoja na kujipelekapeleka kwa familia ya baba T amechezea mbata.
 


Kama wewe ushabikii haya mambo uliingije hapa na tittle hapo juu imeeleza kila kitu. Anyway, nilikupa mfano watu wa Dar fani zao ni kusafiri au kupiga dili za pesa kwasababu hakuna mashamba ya viazi. Hiyo Instagram au Facebook sio Dar, acha jealous na Jiji, we kaa huko huko Impandelavua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…