Pemba empire
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 467
- 1,339
- Thread starter
- #41
sureNa ukiona demu 'anatimu' sjui Zari au Mobeto au team Wema bas ujue huyo dem bado anasafari ndefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sureNa ukiona demu 'anatimu' sjui Zari au Mobeto au team Wema bas ujue huyo dem bado anasafari ndefu sana
nani kakwambia Hamisa ajitambui. Hamisa ana miaka 26 unamfananisha na mtu ana miaka 38 ..hata hamisa akifika hizo miaka anaweza kua na maendeleo..Zari siyo self made..unachokiona ni mali za mumewe tu. Hamisa ana biashara zake bado ni movie actor soon Mungu na yeye atamjalia. Binafsi ntamchagua Hamisa..
Hamisa ana miaka 26? Mbona post yako inasema hajafika hata miaka 25..nani kakwambia Hamisa ajitambui. Hamisa ana miaka 26 unamfananisha na mtu ana miaka 38 ..hata hamisa akifika hizo miaka anaweza kua na maendeleo..Zari siyo self made..unachokiona ni mali za mumewe tu. Hamisa ana biashara zake bado ni movie actor soon Mungu na yeye atamjalia. Binafsi ntamchagua Hamisa..
Lkn ukiangalia asilimia kubwa ya wanaoshabikia ujinga huo ni vijana Wa DSM ambao kila uchwao wanagombaniana remote za TV na Dada zao wakitoka hapo hugombaniana dressing table na Dada zao.. Yaan hovyo kabisa.
Huwezi kukuta kujana Wa korimije, au ileje anazungumzia mambo ya zari kwanza hawajui ni nn zari wala mobeto
nani kakwambia Hamisa ajitambui. Hamisa ana miaka 26 unamfananisha na mtu ana miaka 38 ..hata hamisa akifika hizo miaka anaweza kua na maendeleo..Zari siyo self made..unachokiona ni mali za mumewe tu. Hamisa ana biashara zake bado ni movie actor soon Mungu na yeye atamjalia. Binafsi ntamchagua Hamisa..
Kama wewe sio ‘Hamisa’ mwenyewe, basi utakuwa una ukaribu mno na huyo Hamisa. Umeandika kwa hisia mno asee.nani kakwambia Hamisa ajitambui. Hamisa ana miaka 26 unamfananisha na mtu ana miaka 38 ..hata hamisa akifika hizo miaka anaweza kua na maendeleo..Zari siyo self made..unachokiona ni mali za mumewe tu. Hamisa ana biashara zake bado ni movie actor soon Mungu na yeye atamjalia. Binafsi ntamchagua Hamisa..
Watanzania wengi washamba sana.. Baba Nyerere angefufuka leo nadhani angewatia mboko asilimia 80 ya watanzania wote kwa akili zenu zilizojaa upupu. Mzee nyerere hakuacha taifa la majitu majinga hivi. Leo watanzania wamekuwa watu wa kumthamini mgeni kuliko mtanzania mwenzao. Au hutotuvingereza mkimsikia huyo zari basi mnashoboka ebu usee nyinyi. Unamtukana bint wa watu kosa lake nini. Diamond yupo na zari amekwenda kutembea na huyo Hamisa, Kosa la Hamisa ni nini.. Kutembea na Diamond au. Acheni ulimbukeni nyinyi,. Eti timu Zari..hamna za kufanya nyinyi.
Huyu binti Hamisa bado mdogo sana hana hata 25..Kila siku mnamtukana kisa huyo bibi wa Kiganda. Eti timu Zari badala muwe timu kilimo au timu biashara..mnakaa siku nzima mnashinda kwenye mitandao badala ya kufanya Kazi. Taifa la watu wambeya na usengenyaji. Mnatukana binti wa watu eti kaingilia mapenzi. Diamond i support mziki wako..lakini drama zako unafanya huyu Binti anatukanwa sana, Kumbuka unamtoto naye..sidhan km mtoto atafurahi akikuwa Mkubwa aone jinsi Mama yake alivyokuwa anatukanwa kisa wewe. Sikuchagulii mtu wa kumuoa but udhalilishaji huu kwa Hamisa uliusababisha interview yako ya Clouds fm.
Eti Hamisa malaya..nani siyo malaya Tanzania..huyo Zari kwani siyo malaya..si mdangaji tu.. ..Eti Zari ana pesa sana Tununu hana pesa..Pesa za Zari zinakuhusu..Acheni usee nyinyi. Na hii Tabia kubwa ya Midada ya kitanzania hata ikiwa nje ya Nchi kushoboka na wageni..ushamba mzigo sana.
Watanzania nawasihi sana acheni kushoboka na wageni, wapambane mastar wenu, Zari hana mashabiki sehemu yeyote zaidi ya Tz. Kabinti kadogo mnakachukia kwa ulimbukeni tu. Mishamba na miseee sana nyie.
Mdogo wangu wewe ni mzuri sana unayofanyiwa Mungu anaona. Nakushauri move on na endelea kuwa strong. Matusi ya watz yasikuondoe kwenye malengo yako. Diamond we msanii Mkubwa acha drama za kipuuzi.
Hamisa ana miaka 26? Mbona post yako inasema hajafika hata miaka 25..
Mwenzangu nashangaa na mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo kawa na 26!!?si huwa wanasema ana miaka 23
Tulia ww hivi utajiita unaakili kweli .wanaume mzima unaanza kumchambua mwanamke tena binti mdogo mbaya zaidi huyo mwanamke hakuhusu hivi kama wewe sio mshinda kwenye dressing table na Dada zenu?? Badliken bana mambo ya kike achaneni nayoAchana na habari za kukariri. Vijana wa Dar wanajua kupiga mishe kuliko hao mambuyagi wa Kolomije. Kama wewe sio wa kutoka hapa town huwezi kulitambua hili kwa hiyo kaa huko huko kwenu
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji6][emoji16][emoji16]yaani wewe unaonekana kabisaa hujielewi kaah!Yes naelewa Hamisa ana genge kule Mbagala na anauza mkaa pembeni ya nyumba ya Mama yake. Hamisa hajitambui na ndiyo maana mchafu mpaka Mama Diamond hamtaki, wewe demu mwenye miaka 26 anashindwa kujisafisha sehemu za siri na kupiga mswaki? Licha ya hayo, Hamisa bado anajikojolea kitandani mpaka leo hii na ndiyo maana Majizo alimuacha.
Tulia ww hivi utajiita unaakili kweli .wanaume mzima unaanza kumchambua mwanamke tena binti mdogo mbaya zaidi huyo mwanamke hakuhusu hivi kama wewe sio mshinda kwenye dressing table na Dada zenu?? Badliken bana mambo ya kike achaneni nayo
Kwenda nje ya nchi sio shida unaweza kwenda nje ya nchi kwa kutaniwa kila kitu na ukfika huko bado ukawa muosha vyupi vya wazee..Ndio maana nasema umekariri. Way back wakati niko teen navuka mipaka ya nchi kwenda ughaibuni kutafuta maisha, na huko nakutana na vijana wote under 25 wametokea Dar, labda wengine wachache wametokea Tanga. Ndio ujue vijana wa Dar sio watu wa kuuweka. Nimekupa mfano tu, Dar es salaam haipo Instagram mkuu, ni real life ambayo watu kama wewe mkulima wa viazi lazima uone maruweruwe.
Kwenda nje ya nchi sio shida unaweza kwenda nje ya nchi kwa kutaniwa kila kitu na ukfika huko bado ukawa muosha vyupi vya wazee..
Endeleen kushabikia mambo ya kike..
Huko nje hata jamaa zangu wako huko wanaogopa kurudi Tz wanaona aibu waliotuacha kipind hicho mitaan lakn sasa hivi tunauwezo Wa kuwaajili..
Mtu mwenye kazi maalumu hawezi kushupalia mambo ya kina hamisa sijui zari hayo mambo tumewaachia Dada zetu ila kwakuwa nyinyi ni sample yao basi hakuna namna