Ushamba, ujinga na usela mavi wa EMBER BOTION

Kwani mgomvi hapo ni Nani ? Maana harmo ndio mchokozi sasa wamuachie ?
 
Hivi Amber Luli useme naye ni mke kabisa[emoji23][emoji23]
Anaweza kuwa wife material lakini kwa mwanaume huwezi kumwekea dhamana cha msingi jamaa angeenda tu kupima DNA basi hayo mengine uyo emba kajitakia tu maujinga ujinga
 
Huyu dogo usela,unyamwezi au
Ila ninachojua alivyolelewa tu lbda
Ila ana sifa za kijinga alafu yule mtu
Mrefu ndiyo aliwapa jeuri
Mimi alipotoka ndani nlijua atajirekebisha
Kumbe ndiyo kwanza bado

Ova
Bado ana usela mavi, mkino huyu hawezi kubadilika wenzake Sasa hivi tunakomaa na life mambo yanaenda . Yeye kakalia usema mavi
 
kamteka nani?
 
kumbe ndo huyuu anatembea na dem wa Mzee wa kuwachetua Morrison
sema jamaa ni boya mnooo
mwanaume hagombei mtoto kihivyo na kidume mwenziee
suluhishoo ni vipimo tuu ndo angejua wake au si wakeee
ukute kijamaa kimemtafuna kweli huyooo dem mtembea uchiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…