Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Huyo harmo mshamba tu wa mtwara watoto wa kino wanakula washambaUkumbuke tunu ya harmolapa ya taifa imeliwa na watoto wa kino, afu watoto wa kino hua wanawaona manzese kama washamba hivi
Watoto wa kino lazima mtuone sisi Manzese washamba sababu sisi watafutaji sio laini kama nyinyi mara nyingi nyinyi mnalelewa sana