Ushamba, ujinga na usela mavi wa EMBER BOTION

Ushamba, ujinga na usela mavi wa EMBER BOTION

Mama yake na hiyo dgo naye ndio wale wale...anamlazimisha Harmo chizi akane mtoto sio wake...sema yule baunsa wa clouds alisaidia sana kumlinda rapa mathifa.
 
Mama yake na hiyo dgo naye ndio wale wale...anamlazimisha Harmo chizi akane mtoto sio wake...sema yule baunsa wa clouds alisaidia sana kumlinda rapa mathifa.
Ukiangalia alivyokuwa mpuz,unaenda kmteka mtu na makamera juu..yaani unajiwekea ushahidi...
Misifa au ndy kutaka aonekane mhuni sanaaa

Ova
 
Nyie wanawake leo mlipaswa mjiheshimu siku ya Wamama. Bado mnagombania wanaume mtaani mnakuja kusemana huku utadhani nasi tunawafahamu madanga yenu. Mna bore sana
 
Jamaa anajiona mwamba kwelikweli na kujisifu
Ubabe asioweza
Hana cha namba 26 wala 27 ni mlamba midomo tu.

Namba 26 keshawahi kuua mtu?

Kuna mengi nyuma ya namba 26 ,,

Yeye anadhani namba unajipa mwenyewe .

Ukimwambiya atoe ishara za hiyo namba 26 akikutana na wenzie ili ajitambulishe pia hujuwi..

Kwa kawaida wahuni wa south wanatambuana kwa namba.
Ni kama rank fulani hivi.
 
kumbe ndo huyuu anatembea na dem wa Mzee wa kuwachetua Morrison
sema jamaa ni boya mnooo
mwanaume hagombei mtoto kihivyo na kidume mwenziee
suluhishoo ni vipimo tuu ndo angejua wake au si wakeee
ukute kijamaa kimemtafuna kweli huyooo dem mtembea uchiii
Labda hana kizazi.

Sasa kusingiziwa mtoto kaona kalamba dume
 
Yan hawa wasanii wasanii wapumbavu sana mbona huwa hawajeti kwa masela kama sisi ? pumbavu kabisa mwache akacheezee mashine ya mnyampala
 
Unamteka mtu raia wa jamuhuri fulani mbele ya kamera je hujui kuwa iyo jamuhuri ina serikali na serikali ina katiba yake ambayo inafatwa na raia wake wooote je unataka kutuma picha gani kwa majirani wa iyo jamuhuri kwamba jamuhuri iyo ina serikali ambayo ni nyoka wa kibisa means haiwezi ata kutetea haki za raia wake

Nini tofauti kati Jamhuri na Serikali?
 
Serious mtu unahejisifu kuwa umekaa sough Africa kwa miaka kadhaa unaenda kumteka mtu mbele ya kamera na kumlazimisha akili maneno ya uwongo ambayo umeyapanva wewe.

Seripusly mtu mwenye exposurw kama EMBa botion unafanya ujinga na upumbavu mbele ya kamera ya unafanya uvunjifu wa sheria na amani mbele ya kamera yani namqanisha kamera zikiwa on zinakurekodi live

Ivi Emba botion hana washauri wenye akili timamu ama haajui kuwa jamuhuri ya Tanzania ina serikali halali ilioapishwa ili kulinda katiba ya jamuhuri ya Tanzania unafanya upumbavu na uvunjifu wa sheria mbele ya kamera ukitegemea kwamba wewe utakuwa safe kweli

Yaani kijikundi cha vijana wavuta bangi wa kinondoni mjiunde na kwenda kumteka na kumtishia amani na maisha mtanzani mwenzinu tena mbele ya kamera alafu mtegemee serikali kukaa kimya kweli seriouly

Yaani nilikuwaga nadhani Uyo Emba botion ni mjanja kumbe ni bonge la kolo tena nadhanikoko kishinda ata makalo wooooooooooooote duniani nachomaanisha ni Emba botion ni mtu asiye tumia akili kabisa

Unaawezaje kufanya utekaji wa binadamu mwenzio tena mtanzania mwenzio mbele ya kamera namna ile ivi unafikiri kuwa Harmolapa sio mtanzania halisi ama hana haki zoooote ambazo anapaswa kuwa nazo mtanzania


Mwisho Emba botion wewe ni mshamba wa kiwango cha lami yaani wewe una usela mavi ule uswla wa kizamani na sheria za jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni lazims zikuhukumu mzer

Jukumu la kwanza la serikali ya jamuhuri ya muungano waTanzania ni kulinda amani ustawi na haki ya kila mtanzaniakuwa huru kabla ya mahakamakumuhukumu
Post haieleweki
 
Hana cha namba 26 wala 27 ni mlamba midomo tu.

Namba 26 keshawahi kuua mtu?

Kuna mengi nyuma ya namba 26 ,,

Yeye anadhani namba unajipa mwenyewe .

Ukimwambiya atoe ishara za hiyo namba 26 akikutana na wenzie ili ajitambulishe pia hujuwi..

Kwa kawaida wahuni wa south wanatambuana kwa namba.
Ni kama rank fulani hivi.
Kweli kabisa mkuu mtu anajiita msanii angeonyesha busara kama angefuata sheria juu ya mtuhumiwa wake na kumpeleka panapostahili siyo kumteka na kumdhalilisha kijna wa watu
Lile jamaa la hovyo
 
Watoto wa ufipa wengi wameharibikiwa tulio tuliza vichwa ni wachache maana ule mtaa kwa kipindi hiko hakukuwa wanaishi watu wa kawaida baada nyumba hukosi wadangaji au muuza ngada tapeli jambazi au mateja ndio mtaa South Africa ya bongo kuja hadi mtaa wa Togo kuelekea stendi ya magari ya mwananyamala posta stesheni mitaa hatari sana kwa malezi ya watoto
 
Back
Top Bottom