Ushamba wa msukuma upo wapi?

Nipo na nyanda Maghembe na mkewe Minza na watoto wao Nyanzara na Masanja, karibu na siti yangu tunaelekea Mwanza kutokea Bariadi. Ni full raha na ukarimu napewa mahindi ya kuchemsha kisha nakaribishwa michembe toka mkobani na nimenunuliwa mayai ya kuchemsha hapa Dutwa na Magu nimenunuliwa miwa nitafune.

Hongereni watani zangu kwa kula kwenye safari na kubishia makondakta.
 
Hahahah Kama ni hivyo kweli wasukuma wachangamfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…