Baba Ndumbwi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 447
- 712
Kama uliyoandika ni ukweli naanza kuamini jiwe hakuwa msukuma bali mhutu according to tetesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah Kama ni hivyo kweli wasukuma wachangamfuNipo na nyanda Maghembe na mkewe Minza na watoto wao Nyanzara na Masanja, karibu na siti yangu tunaelekea Mwanza kutokea Bariadi. Ni full raha na ukarimu napewa mahindi ya kuchemsha kisha nakaribishwa michembe toka mkobani na nimenunuliwa mayai ya kuchemsha hapa Dutwa na Magu nimenunuliwa miwa nitafune.
Hongereni watani zangu kwa kula kwenye safari na kubishia makondakta.
Kivipi....sitaki kabisa mshenzi yeyote anifananishe mimi na Msukuma au Mnyamwezi....mnikome kabisa.Kweli we jamaa Mbishi kweli
msukuma fekero ,Msukuma Original , Msukuma wa dar , Pascal Mayalla , Don Nalimison , 😇
Kuna ambao nimewasahau kweli?
Inaonekana we msukuma🤭Ninavyo mfahamu Msukuma hufanya yafuatayo;View attachment 1834665
1- Hapendi makuu ukimchokoza anasema Kaya ya Ng'wobha nayo Kaya ili siku ipite salama...
Wasukuma ni ng'ombe kama ng'ombe nyingine!
Weeeeh🤣Ndugu zangu sana hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi nami nabadili kabila, kuanzia leo mimi ni Msukuma.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jamani nawapenda kweli wasukuma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasukuma ni ng'ombe kama ng'ombe nyingine!